Michelle,
Wengi wetu tunachangia tuu hapa, lakini roho zetu zinatusuta. Bado siamini kuwa kuna mwanaume au mwanamke ambaye angependa kuwa single for their rest of their life. Mwanaume huwa anapenda kuoa na mwanamke pia anapenda kuolewa. Lakini kwa sababu mbalimbali zikiwepo kuogopa kupoteza uhuru (wanaume) and kuwa na expectations kubwa (wanawake) ndio tunaishia kusema maisha ya ndoa sio muhimu tena. Watu hawaamui tuu kuishi maisha yao wenyewe. There must be a reason for making that decisions. Everything comes for a reason.
Hao wanawake 2/10 waliokuambia ndoa ni mateso matupu, they may be right or wrong. Kama waliingia kwenye maisha ya ndoa wakiwa na expectations fulani ambazo hawakuzipata then, definitely ndoa zao zitawakuwa matatizo matupu. Kama waliingia kwenye maisha ya ndoa wakitegmea kuwa waume zao watatabadilika, lakini hawakubadilika, then ndoa wataiona chungu.
Rafiki zako 0/10 wanakushauri uolewe. Sounds like your friends are a group who don't have any interest in marriage at this stage in their lives. Are they single or do they have boyfriends? I would venture to guess that they are 20-30 somethings and are enjoying Sexy and the City life without being tied down. However, as they get older they will start to think settling down and want to get married.
My female friends say the opposite of what your friends say. Ila nina wasiwasi na expectations wanazotaka kwenye ndoa.
Since modern women can take care of themselves financially, they don't have that requirement from a man and thus don't really NEED them. Wengine huwa wanasema vigumu sana kuwatrust wanaume wa siku hizi kwa sababu mbalimbali. Pia wapo wanaosema they are used to being alone and actually enjoy it. Wenngine wanaosema, there is no good reason for marriage anymore because there is no gain socially, mentally, physically, financially, religiously or sexually.
Lakini tuwe wakweli. Women across the world develop fondness towards getting married at a particular age. Ila tatizo kubwa wanawake wengi wana this fairy tale dream world thinking some prince charming would come one day and sweep them off their feet. But in reality it really doesn't work that way. It all seems real easy in books and movies but in reality it's a completely different ball game. And when the Prince does not turn up for marriage, they try to find a reason to justify why they are not or don't want to get married.
Women be honest and keep your expectations realistic!!