They want me to marry, but where are the men?

Mbona kazi wanayo!Ndani wanalalamika nje wanatuita!

Walio ndani wanataka kutoka nje na walio nje wanataka kuingia waone kulikoni, kazi kweli kweli! Lizzy usiogope sana karibu uone yaliyopo sometimes huwa nasema ni kaexperience fulani hivi. lakini yataka uvumilivu it is not easy!
 
Kuna watu bwana wameamua waishi maisha yao wenyewe na wanayapenda and they are having fun!! we kaa ukimuonea mwenzio huruma au kumuangalia kwa jicho la pembeni hajaolewa kumbe wa kuonea huruma ni wewe,full time ma-stress ukitafuta heshima......

Umekakamaa uso,mihasira 24/7,nawe una bahati??unapata sex anytime you want,he he hewapo wengine hiyo sex anaipata baada ya mwezi,mumewe yuko busy na nyimba ndogo amabzo ni fashion TZ,nawe una mume...........ndo mbivu zenyewe,aku bibi sizitaki!!!

Personally ni wanawake 2/10 wananiambia nenda kwenye ndoa,wengi wanasema ni mateso matupu,take your time......

Rafiki zangu 0/10 ananishauri olewa,kila mmoja anasema,ningejua......isingekuwa hivi????[/QUOTE]

Wewe msimamo wako ni nini? Maana akili za kuambiwa changanya na za kwako "JK 2010"

Sijaamua,am still young,happy and with lots of things to think about now,marriage is not one of my priority....thanks!
 
Walio ndani wanataka kutoka nje na walio nje wanataka kuingia waone kulikoni, kazi kweli kweli! Lizzy usiogope sana karibu uone yaliyopo sometimes huwa nasema ni kaexperience fulani hivi. lakini yataka uvumilivu it is not easy!
Asante mama B!Sema hawa ni kama wanalazimisha..utadhani ndo ni jukumu na fasheni!
 
Nimepitia mada zote zilizochangiwa na members ktika uzi huu na inaonesha kuwa sisi kama wanajamii tuna tatizo kubwa,maana kama inaonekana watu wengi hasa jinsia pinzani wanasimama kutetea living single,basi moja kwa moja inamaanisha kuwa hali ya ndoa tulizo nazo si nzuri.Kisaikolojia imedhihirika kuwa asilimia kubwa ya watu waliokulia katika ndoa zenye matatizo basi hutokea kuchukia ndoa na wanaweza wasiingie katika maisha ya ndoa wanapokuwa watu wazima.Hali hii ni mbaya kwani itaathiri kwa kiasi kikubwa maendeleo ya Taifa letu kama hatutakuwa makini kwani ujenzi wa Taifa lolote lile huanzia katika ngazi ya familia.Ushauri wangu kwa vijana wa leo ni kuwa,wasijaribu kuingia katika ndoa kwa kuangalia mabaya ya ndoa toka kwa ndugu jamaa na marafiki,bali waingie katika ndoa kwa kujitoa ili kutumikia ndoa zao,na kila mtu achukue jukumu la kuilea na kuitunza taasisi hiyo takatifu ili kutoa mazao bora ambayo ni watoto watakaokuwa kizazi cha kesho sisi tutakapoondoka.
 
sawa kabisa St PM......ukishaamua kuingia ujitoe kuitumikia ndoa.....
 
Kuna watu bwana wameamua waishi maisha yao wenyewe na wanayapenda and they are having fun!! we kaa ukimuonea mwenzio huruma au kumuangalia kwa jicho la pembeni hajaolewa kumbe wa kuonea huruma ni wewe,full time ma-stress ukitafuta heshima......

Umekakamaa uso,mihasira 24/7,nawe una bahati??unapata sex anytime you want,he he hewapo wengine hiyo sex anaipata baada ya mwezi,mumewe yuko busy na nyimba ndogo amabzo ni fashion TZ,nawe una mume...........ndo mbivu zenyewe,aku bibi sizitaki!!!

Personally ni wanawake 2/10 wananiambia nenda kwenye ndoa,wengi wanasema ni mateso matupu,take your time......

Rafiki zangu 0/10 ananishauri olewa,kila mmoja anasema,ningejua......isingekuwa hivi????

Michelle,

Wengi wetu tunachangia tuu hapa, lakini roho zetu zinatusuta. Bado siamini kuwa kuna mwanaume au mwanamke ambaye angependa kuwa single for their rest of their life. Mwanaume huwa anapenda kuoa na mwanamke pia anapenda kuolewa. Lakini kwa sababu mbalimbali zikiwepo kuogopa kupoteza uhuru (wanaume) and kuwa na expectations kubwa (wanawake) ndio tunaishia kusema maisha ya ndoa sio muhimu tena. Watu hawaamui tuu kuishi maisha yao wenyewe. There must be a reason for making that decisions. Everything comes for a reason.

Hao wanawake 2/10 waliokuambia ndoa ni mateso matupu, they may be right or wrong. Kama waliingia kwenye maisha ya ndoa wakiwa na expectations fulani ambazo hawakuzipata then, definitely ndoa zao zitawakuwa matatizo matupu. Kama waliingia kwenye maisha ya ndoa wakitegmea kuwa waume zao watatabadilika, lakini hawakubadilika, then ndoa wataiona chungu.

Rafiki zako 0/10 wanakushauri uolewe. Sounds like your friends are a group who don't have any interest in marriage at this stage in their lives. Are they single or do they have boyfriends? I would venture to guess that they are 20-30 somethings and are enjoying Sexy and the City life without being tied down. However, as they get older they will start to think settling down and want to get married.

My female friends say the opposite of what your friends say. Ila nina wasiwasi na expectations wanazotaka kwenye ndoa.

Since modern women can take care of themselves financially, they don't have that requirement from a man and thus don't really NEED them. Wengine huwa wanasema vigumu sana kuwatrust wanaume wa siku hizi kwa sababu mbalimbali. Pia wapo wanaosema they are used to being alone and actually enjoy it. Wenngine wanaosema, there is no good reason for marriage anymore because there is no gain socially, mentally, physically, financially, religiously or sexually.

Lakini tuwe wakweli. Women across the world develop fondness towards getting married at a particular age. Ila tatizo kubwa wanawake wengi wana this fairy tale dream world thinking some prince charming would come one day and sweep them off their feet. But in reality it really doesn't work that way. It all seems real easy in books and movies but in reality it's a completely different ball game. And when the Prince does not turn up for marriage, they try to find a reason to justify why they are not or don't want to get married.

Women be honest and keep your expectations realistic!!
 
1<SUP>st</SUP> paragraph, As you said, we all have reasons to marry or not to marry. I have my reasons and you have your reasons.
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com😱ffice😱ffice" /><o😛></o😛>
2<SUP>nd</SUP> paragraph,hakuna la ajabu walilokuwa wana-expect,wote walitegemea upendo, uaminifu, heshima na uwajibikaji wao na wa wenza wao,only kujikuta walikuwa wanaota,ndo maana wakanishauri,na niliangalia kama ni hela wanazo,yaliyokosekana ni hayo hapo,plus amani.
<o😛></o😛>
3<SUP>rd</SUP> paragraph,0/10 ya marafiki wanaoshauri nisiolewe ni wale walioolewa,hawako single....wako ndani ya ndoa na nikiwa huku nje I can feel what they are going through.
<o😛></o😛>
4<SUP>th</SUP>,some of us are very realistic and thus why we are still weighing to marry or not to, we are not guided by emotions, we are simply using our minds, experience in viewing the whole marriage idea realistically.
 
Hahahah!Hata sijui wangu!Labda najipa moyo kwa vile nimekosa wakunioa!Kaaazi kweli kweli!

Sijui kwanini watu hufikiri mtu akitofautiana nao anadanganya,this is life,we differ,for God sake,let us be!:amen:
 
Sijaona mtu yeyote hapa aliyyeongea na kuweka sababu zake binafsi zenye mashiko kuhusu Kuolewa ama Kutoolewa. Wote mmetoa sababu za kitoto, mkikua mtaacha tu!
 
Amini nawaambia, mtu yeyote mwanye sababu za msingi na zenye maana za kutoolewa/kutooa anakaa kimya, haongelei wala kuuliza hali ya ndoa kwa mashosti! Ukiona mtu anapeleleza mambo ya ndoa kwa awatu waliooa/olewa; huyo anatamani, na moja ya dalili za mtu wa namna hiyo ni kujinadi kuwa "naweza kuishi bila kuolewa", "kwani nakosa nini". Kwa waliokulia katika familia zenye amani na upendo wanafahamu umuhimu wa familia yenye baba na mama! Kama hauna mpango hata wa kuwa na watoto hilo ni suala jingine ambalo linahitaji maombi maalum!
 
Sijaona mtu yeyote hapa aliyyeongea na kuweka sababu zake binafsi zenye mashiko kuhusu Kuolewa ama Kutoolewa. Wote mmetoa sababu za kitoto, mkikua mtaacha tu!
Kwani ni lazima jamani?Wanaotaka wataolewa na tusiotaka tutabaki tu kuangalia!Iwe kwa sababu za kitoto kama unavyoziita au za maana ikiwa mhusika anaona zinatosha yeye kukubali au kukataa huna budi kua muelewa na sio kuleta ujuaji kwenye maamuzi ya mtu mwingine!
 
frustrated women who can not satisfy a man will say all these words. Tunawajua sana msijifanye kusema ati 'nani anataka kuolewa' wakati kila mkiona harusi viroho vinawauma.
Hapa niko da dada zangu! Viroho viume kwa nini? Kuna lipi analipata mwanamke aloolewa ambalo halipati aoolewa?
 
And when the Prince does not turn up for marriage, they try to find a reason to justify why they are not or don't want to get married.

Women be honest and keep your expectations realistic!!

Well said EMT!
 
Kwani ni lazima jamani?Wanaotaka wataolewa na tusiotaka tutabaki tu kuangalia!Iwe kwa sababu za kitoto kama unavyoziita au za maana ikiwa mhusika anaona zinatosha yeye kukubali au kukataa huna budi kua muelewa na sio kuleta ujuaji kwenye maamuzi ya mtu mwingine!

Lolest!
 
Sijui kwanini watu hufikiri mtu akitofautiana nao anadanganya,this is life,we differ,for God sake,let us be!:amen:

........... ukidiffer wewe ni tofauti ! na kama ni tofauti basi una kasoro ! ............. hakuna mwanamke ameumbwa aje awe single !:disapointed:
 
Kwani ni lazima jamani?Wanaotaka wataolewa na tusiotaka tutabaki tu kuangalia!Iwe kwa sababu za kitoto kama unavyoziita au za maana ikiwa mhusika anaona zinatosha yeye kukubali au kukataa huna budi kua muelewa na sio kuleta ujuaji kwenye maamuzi ya mtu mwingine!

........... huna maamuzi katika hilo zaidi ya kutaka kufanya reja reja na kuleta uharibifu!
 
Back
Top Bottom