They want me to marry, but where are the men?


Asante mami....maana alivyotukomalia utadhani ametumwa!!!:twitch:
 

Reaction yako tu inaonyesha you are frustrated! Mke mwema hutoka kwa Mungu na si Bagamoyo bwana
 
Michelle na Lizzy, nasikitika sana kwa kuwakera kama sio kuwakwaza nadhani mkikuwa mtaacha, bye!
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?
Ukiolewa utakuwa na mume, usipoolewa huna mume. Vipi hakuna tofauti??
 
una uhakika na unachokisema au unalipuka kama Makamba,kiroho kiniume kisa nini,kwani ntapungukiwa nini au nikishaolewa kinaongezeka nini?

acha kujipotezea ukiona hivyo nawewe hujolewa na kiroho kinakuuma kila unapopewa kadi ya kuchangia harusi , jamani mwanamke kuolewa anaweka kaheshma acha kuwadanganya mashosti wako .alaaaaaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…