Dabil
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 6,823
- 15,293
Amevunja mkataba mchana huu na kila kitu kimeenda sawa kwa pande zote mbili.
Ikumbukwe mechi ya Galaxy alikuwa benchi la ufundi la Simba na Gomes akiwa jukwaani ,anapigiwa simu na Gomes afanye mabadiliko akawa hapokei simu,tuliona hata kwenye tv Gomes anapiga simu haipokelewi,mwisho wa siku alifanya sub anayojua yeye tukatolewa club bingwa Africa ,tukio la juzi pia imechukua taswira tofauti kwa kufanya anavyotaka kufanya sub bila idhini ya kocha mkuu.
Hayo yote nikufanya hujuma makocha wakuu waonekane hawana uwezo ili yeye abaki.
Simba tunashukuru kwa uamuzi sahihi Pablo anatosha ,anaimudu ligi na kombe la shirikisho.