Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba

mkuu mechi ya Galaxy alimzimia Gomes simu,Gomes mpaka akapanic ,alitegemea hamna comeback wangeshinda aonekane hero,ya juzi timu inaongoza magoli mengi akawa anaforce ili wakuu wa timu wajue yeye ndo kichwa,waburudi ni masnitch ,nakuambia subiri miezi miwili tu Caze ataanza kufanya mazingira aonekane mwamba pale utopolo,, huyu Hitimana alikuwa amemalizana na mtibwa ,ishu ya vyeti Simba ikamwambia unaweza kukaa benchi uwe msaidizi?imebaki siku 3 akawabadilishia line viongozi wa mtibwa hapatikani,Sasa hivi Sijui atawaambia nini

Watanzania sio ma snitch?
 
Siku zote ukitaka kuachana na mtu lazima umtafutie kashfa ili aonekane hafai, Ila ukweli uliopo kocha wa Sasa wa Simba ni kocha wa mchongo ni swala la muda tu.
 
Hitimana atarudi zake Mtibwa maana kwasasa hawana Kocha Mkuu
walimalizana na mtibwa ,Simba ilipomtaka kwa michezo ya kimataifa ndani ya siku 3 akawabadilishia line ya simu
 
yanga ndo inatuongelea maana wana wivu wa maendeleo ,tuongelee utopolo wana historia gani kimataifa labda kucheza migongo wazi
Achana na mambo ya history habari za Yanga zimefika aje , nme kuuliza Caze alimu snitch nani una bwabwaja tu! kila mtu apambane kivyake
 
Back
Top Bottom