Thierry Hitimana avunja mkataba na klabu ya Simba


Watanzania sio ma snitch?
 
Siku zote ukitaka kuachana na mtu lazima umtafutie kashfa ili aonekane hafai, Ila ukweli uliopo kocha wa Sasa wa Simba ni kocha wa mchongo ni swala la muda tu.
 
Hitimana atarudi zake Mtibwa maana kwasasa hawana Kocha Mkuu
walimalizana na mtibwa ,Simba ilipomtaka kwa michezo ya kimataifa ndani ya siku 3 akawabadilishia line ya simu
 
yanga ndo inatuongelea maana wana wivu wa maendeleo ,tuongelee utopolo wana historia gani kimataifa labda kucheza migongo wazi
Achana na mambo ya history habari za Yanga zimefika aje , nme kuuliza Caze alimu snitch nani una bwabwaja tu! kila mtu apambane kivyake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…