Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hawa vijana wanadhani mambo ni mepesi kudadeki !Anatia huruma sana
Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Bruge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.
Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
mimi ndio naitwa Zahera Mwinyi , hujui nafundisha timu gani ?Sasa wewe unafundisha timu gani
alishajitapa kwamba atatumia mbinu ya Guardiola , imekuwaje tena ?Kapewa Timu Ishajichokea
Wampe Psg Halafu Uje Hapa Kumchambua
Mtoto akililia wembe mpenadhani haukuwa muda sahihi wa henry kuwa kocha mkuu ilibidi aendelee kufanya kazi chini ya watu wakubwa kama wawili au watatu
Mtoto akililia wembe mpe