Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
Tayari kimenuka !
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari kimenuka !
kasimamishwa kaziKi vipi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
kasimamishwa kazi
YametimiaIkiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.
Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
Anasahau wenger alimtoa korokoron , akambadil from winger to straiker ,Hakufanya uungwana mi niliumia kupita Wenger mwenyewe. Na hii dhambi itamtafuna daima hadi aombe radhi.
Yeah jamaa alizingua.Anasahau wenger alimtoa korokoron , akambadil from winger to straiker ,
Halafu anashindwa kwenda kumuaga,
Aliniudh sana,
Sent using Jamii Forums mobile app
duh! amekua Wenger na yeye...Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.
Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.
Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
Bora wamemtoa maana angeharibu zaidi amtafute mfaransa mwenzake Zidane au Deschamps wamweleze kuwa kocha mzuri unahitaji kitu gani.Tayari kimenuka !
Safi! Umenena mkuu nadhani sasa wataelewa kuwa kocha mwenye mafanikio unahitaji nini.Monaco nao wapunguze sera ya kuuza wachezaji bila kuwa na njia mbadala..
Huyu Henry, scholes, na yule Neville.. hawa jamaa walikuwa wanawaponda kina mourinho na wenger!.. Wakadhani kucheza na kufundisha kunafanana!.. hawakujiuliza why zidane kaondoka Madrid mapema namna ile???.. huyu Neville alikaribia kuishusha team daraja huko la liga wakamtimuaga!... saivi anapiga blah blah hapo Sky sport!... nae Henry kasimamishwa kwa muda na Monaco!.. team ya pili mwisho kutoka mkiani.!.. usitukane mamba kabla hujavuka mto!
Hiyo timu mpe big sam na ubovu wake huohuo alafu uone kama itaendelea kubak hapo ilipo.Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??
Wanamuonea Henry tu
Tujaribu kumpa Shaffih Dauda Klabu ya Simba awe kocha tuone.kasimamishwa kazi