Thiery Henry ukocha si kama ulivyokuwa unauza sura SKY SPORTS , hii ni kazi ngumu hasa .

Monaco nao wapunguze sera ya kuuza wachezaji bila kuwa na njia mbadala..
Huyu Henry, scholes, na yule Neville.. hawa jamaa walikuwa wanawaponda kina mourinho na wenger!.. Wakadhani kucheza na kufundisha kunafanana!.. hawakujiuliza why zidane kaondoka Madrid mapema namna ile???.. huyu Neville alikaribia kuishusha team daraja huko la liga wakamtimuaga!... saivi anapiga blah blah hapo Sky sport!... nae Henry kasimamishwa kwa muda na Monaco!.. team ya pili mwisho kutoka mkiani.!.. usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.

Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
duh! amekua Wenger na yeye...
 
Ikiwa nyumbani Monaco imepigwa bao 4 kwa nunge na timu mbovu ya Club Brugge ya Belgium , Kipigo hiki kinamaanisha kwamba Henry hajawahi kuonja ushindi tangu ateuliwe kufundisha Monaco , ameanza na gundu la mguu wa kushoto , ukocha si lelemama.

Namtabiria kutimuliwa kwa aibu .
Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??

Wanamuonea Henry tu
 
Munaongea msichokijua kwani in kipi kilichomfanye LEONARDO JODDIM kuondoka hapo Monaco au nae hajawa na uwezo wa kuwa mkufunzi mkuu?jamaa wameuza key player wote Fabinho,mbappe,bakayoko,Mendy,Silva n.k sasa hapo timu inaachaje kuyumba?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monaco nao wapunguze sera ya kuuza wachezaji bila kuwa na njia mbadala..
Huyu Henry, scholes, na yule Neville.. hawa jamaa walikuwa wanawaponda kina mourinho na wenger!.. Wakadhani kucheza na kufundisha kunafanana!.. hawakujiuliza why zidane kaondoka Madrid mapema namna ile???.. huyu Neville alikaribia kuishusha team daraja huko la liga wakamtimuaga!... saivi anapiga blah blah hapo Sky sport!... nae Henry kasimamishwa kwa muda na Monaco!.. team ya pili mwisho kutoka mkiani.!.. usitukane mamba kabla hujavuka mto!
Safi! Umenena mkuu nadhani sasa wataelewa kuwa kocha mwenye mafanikio unahitaji nini.
 
Team yenyewe mbovu waliuza wachezaji wote wazuri ,kusajili hawataki watashinda vipi??

Wanamuonea Henry tu
Hiyo timu mpe big sam na ubovu wake huohuo alafu uone kama itaendelea kubak hapo ilipo.
Kiufupi tu kubwabwaja tofauti na ukocha.
 
Back
Top Bottom