joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mpo LMIC, mkiwa na sifa kuu zifuatazoHuku hatupendi upuzi tunachinjana kwa njaa na hatuna dini ndio maana tunachimana kanisani. Nafikiri ndio sababu tupo Failed State afu bado yupo MDC ilhali wenzetu waliotuzunguka Ni LDC na dead States [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umesahau Failed State 😂😂😂Mpo LMIC, mkiwa na sifa kuu zifuatazo
1) Njaa
2)Unemployment
3)Slums
4)Corruption
5)Crime
6)Poverty
7)Big gap between rich and poor
8)The most ruthless economy
9)Last in Economic inclusiveness
Hiyo nilijua mtaongezea nyie wenyewe kama ulivyofanya. Hongera kwa kutimiza wajibu wenu. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.Umesahau Failed State [emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu Sana ndugu 😂😂😂Hiyo nilijua mtaongezea nyie wenyewe kama ulivyofanya. Hongera kwa kutimiza wajibu wenu. Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.
Hivi wewe unafahamu hiyo misingi ilipotokea...????Imani ya msingi no 5 ya Waadventista wa Sabato Inamhusu Roho Mtakatifu utasemaje hawamkubali au unadhani kumkubali ni kuongea lugha zisizojulikana na kupiga kelele kama wendawazimu?
Sio kwamba wasabato hawamkubali Roho Mtakatifu pekee... Ila ni kwamba Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu... Utatu Mtakatifu halikuwa fundisho la Ellen G White kabisa... Yule Mama mpaka anakufa na kuzikwa alipinga Utatu Mtakatifu katika kanisa lake alilolianzisha...Acha uongo wewe, Ni wasabato Wa wapi wasiomkubali Roho Mtakatifu.. Na ni wapi wamepinga karama za Roho.. Hujui usemalo.. Kama hawaneni kwa lugha Ina maana wao ni mabubu. Labda kama hujui nini maana ya lugha
Hawa watu ni zaidi ya vichaaa...Ni Zaidi ya Parasite katika dunia hiiwasabato na Ekarist Takatifu wapi na wapi?
Wasabato Roho mtakatifu mwenyewe hawamkubali kwa vitendo (wanapinga karama za miujiza, uponyaji, kunena kwa lugha etc)... Sasa hapo hakuna nguvu ya kuzuia kitu
Sio kwamba wasabato hawamkubali Roho Mtakatifu pekee... Ila ni kwamba Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu... Utatu Mtakatifu halikuwa fundisho la Ellen G White kabisa... Yule Mama mpaka anakufa na kuzikwa alipinga Utatu Mtakatifu katika kanisa lake alilolianzisha...
Sidhani kama unafahamu hulo
Lakini mimi nimekuombea utakapoongoka uwaimarishe ndugu zako.Hawa watu ni zaidi ya vichaaa...Ni Zaidi ya Parasite katika dunia hii
Mkuu sijui kwanini unajitutumua kiasi hiki angali hujui hata huo Usabato wako unaoutetea...Acha uongo wewe, Ni wasabato Wa wapi wasiomkubali Roho Mtakatifu.. Na ni wapi wamepinga karama za Roho.. Hujui usemalo.. Kama hawaneni kwa lugha Ina maana wao ni mabubu. Labda kama hujui nini maana ya lugha
Hivi kweli wewe unaweza simama mbele ya umati wa watu na kusema "mimi Msabato"....??? Ujasiri huo unaupatia wapi.../?Lakini mimi nimekuombea utakapoongoka uwaimarishe ndugu zako.
Kwenye biblia hakuna utatu Mtakatifu sehemu yoyote... Na tena huenda ikawa imeongelea kidohgo sana... Utatu Mtakatifu ni mafundisho Matakatifu na mapokeoa ya Kanisa Moja Takatifu KAtoliki la Mitume...Onesha kwenye biblia palipo andikwa "Utatu Mtakatifu".
Kwenye biblia hakuna utatu Mtakatifu sehemu yoyote... Na tena huenda ikawa imeongelea kidohgo sana... Utatu Mtakatifu ni mafundisho Matakatifu na mapokeoa ya Kanisa Moja Takatifu KAtoliki la Mitume...
Sasa jiulize kwanini GC Ilichomoa nyaraka za EGW zile zilizopinga Utatu Mtakatifuna kuzificha...???
Mku inaelekea wewe ndiye unayefuatilia misingi halisi ya Ellen G White...
Maandiko Matakatifu pia ni mapokeo....Mimi nafuata misingi ya maandiko na wala si misingi ya yeyote yule.
Muwe mnasoma maandiko, achaneni na mapokeo. Kuna vitu vingi ambavyo mnavipa uzito wa hali ya juu, lakini hata kwenye maandiko havimo.
Maandiko Matakatifu pia ni mapokeo....
Unabisha...?
Ndio...Hiyo Biblia pia ni mapokeoUmeshasema maandiko.