Thieves escape with holy wine, bread from SDA church

Thieves escape with holy wine, bread from SDA church

Huku hatupendi upuzi tunachinjana kwa njaa na hatuna dini ndio maana tunachimana kanisani. Nafikiri ndio sababu tupo Failed State afu bado yupo MDC ilhali wenzetu waliotuzunguka Ni LDC na dead States [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpo LMIC, mkiwa na sifa kuu zifuatazo
1) Njaa
2)Unemployment
3)Slums
4)Corruption
5)Crime
6)Poverty
7)Big gap between rich and poor
8)The most ruthless economy
9)Last in Economic inclusiveness
 
Mpo LMIC, mkiwa na sifa kuu zifuatazo
1) Njaa
2)Unemployment
3)Slums
4)Corruption
5)Crime
6)Poverty
7)Big gap between rich and poor
8)The most ruthless economy
9)Last in Economic inclusiveness
Umesahau Failed State 😂😂😂
 
Acha uongo wewe, Ni wasabato Wa wapi wasiomkubali Roho Mtakatifu.. Na ni wapi wamepinga karama za Roho.. Hujui usemalo.. Kama hawaneni kwa lugha Ina maana wao ni mabubu. Labda kama hujui nini maana ya lugha
Sio kwamba wasabato hawamkubali Roho Mtakatifu pekee... Ila ni kwamba Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu... Utatu Mtakatifu halikuwa fundisho la Ellen G White kabisa... Yule Mama mpaka anakufa na kuzikwa alipinga Utatu Mtakatifu katika kanisa lake alilolianzisha...

Sidhani kama unafahamu hulo
 
Wasabato Roho mtakatifu mwenyewe hawamkubali kwa vitendo (wanapinga karama za miujiza, uponyaji, kunena kwa lugha etc)... Sasa hapo hakuna nguvu ya kuzuia kitu

weee umewahi ona miujiza na kuponywa??
Kuwa makini sana kijana, usije ukaangukia mikononi mwa "manabii wataka vitu" wakakufanya asusa a.k.a dili.
 
Sio kwamba wasabato hawamkubali Roho Mtakatifu pekee... Ila ni kwamba Wasabato hawaamini Utatu Mtakatifu... Utatu Mtakatifu halikuwa fundisho la Ellen G White kabisa... Yule Mama mpaka anakufa na kuzikwa alipinga Utatu Mtakatifu katika kanisa lake alilolianzisha...

Sidhani kama unafahamu hulo

Onesha kwenye biblia palipo andikwa "Utatu Mtakatifu".
 
Acha uongo wewe, Ni wasabato Wa wapi wasiomkubali Roho Mtakatifu.. Na ni wapi wamepinga karama za Roho.. Hujui usemalo.. Kama hawaneni kwa lugha Ina maana wao ni mabubu. Labda kama hujui nini maana ya lugha
Mkuu sijui kwanini unajitutumua kiasi hiki angali hujui hata huo Usabato wako unaoutetea...

Hivi hujui kuwa mwanzilishi wa Usabato Bi Ellen G White alipinga utatu Mtakatifu pamoja na makufuru yote kwa Roho mtakatifu.....???? Hujui mwanzoni kutokana na mafundisho ya umizimu ya Ellen G White SDA wanajulikana kama CULT....?

Hefu fuatilia kisa kilichompata Bwana Joseph Bates ambaye yeye ndiye Championi wa Usabato lakini EGW Alimfukuza kama mbwa na kumwambia kuwa hatokuwa katika wale watu 144000. huko mbinguni.... Unafahamu Joseph Bates alihoji kitu gani mpaka yakampata hayo..??

Huna habari kuwa SDA kwasasa wanasherekea Xmas kama kawaida... Mtaficha wapi sura zenu na mafundisho mliyomezeshwa ya chuki kwa Wakristo....?

Nina malizia kwa kusema Wasabato sio Wakristo
 
Lakini mimi nimekuombea utakapoongoka uwaimarishe ndugu zako.
Hivi kweli wewe unaweza simama mbele ya umati wa watu na kusema "mimi Msabato"....??? Ujasiri huo unaupatia wapi.../?
Hivi sasa hivi baaada ya GC kupitisha kuwa Xmas mtaanza kusherekea unaujasiri wa kusimama mbele za watu na kusema mi mi Msabato...? Dunia nzima inafahamu kuwa nyinyi ni wapinga Kristo na Utatu Mtakatifu.. Utaweza kusimama na kjipiga kifua kuwa mimi ni msabato...??/

Jitafakari.... Hiyo dini yenu mchawi ni Ellen G White.... Mtaendelea kujitafuna mpaka siku ambayo huyo EGW mtakapo mtoa katika mafundisho yenu na kusahulika kabisa.....

Unaanzaje kujivunia dini iliyoanzishwa na mwanamke, tena ambaye alikuwa kichaa....

Be Serious
 
Onesha kwenye biblia palipo andikwa "Utatu Mtakatifu".
Kwenye biblia hakuna utatu Mtakatifu sehemu yoyote... Na tena huenda ikawa imeongelea kidohgo sana... Utatu Mtakatifu ni mafundisho Matakatifu na mapokeoa ya Kanisa Moja Takatifu KAtoliki la Mitume...

Sasa jiulize kwanini GC Ilichomoa nyaraka za EGW zile zilizopinga Utatu Mtakatifuna kuzificha...???

Mku inaelekea wewe ndiye unayefuatilia misingi halisi ya Ellen G White...
 
Mimi nafuata misingi ya maandiko na wala si misingi ya yeyote yule.
Muwe mnasoma maandiko, achaneni na mapokeo. Kuna vitu vingi ambavyo mnavipa uzito wa hali ya juu, lakini hata kwenye maandiko havimo.
 
Maandiko Matakatifu pia ni mapokeo....

Unabisha...?
 
Back
Top Bottom