THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
41,728
Reaction score
103,997
Kwasasa,
Kwa Wanawake imekua ndio fashion ya mujini.

Gym za mjini zimejaa mikanda na spring za kubana mapaja ili Wanawake waupate huo uwazi unaowavutia wengi.

Wengine wamefika mbali zaidi kwa kutumia vidonge maalum au kufanya operation maalum kurekebisha mifupa ya nyonga ili kuupata huu Uwazi kwa gharama yoyote ile.

Ila
Tetesi za kidaktari zilizopo Ni kwamba huu Uwazi kwa wanawake,

Unamahusiano makubwa Sana na upana wa maumbile ya mwanamke husika.

Kwamaana ya kwamba,
Jinsi Uwazi unavozidi kua mkubwa, na maumbile ndani huongezeka KIPENYO chake.

[emoji117]Wajuvi wa Mambo ya afya karibuni,
[emoji117]Wanaume na Wanawake mnaovutiwa na Uwazi huu karibuni,
[emoji117]Wanaume na Wanawake msiovutiwa na huu Uwazi karibu,

NawasilishaView attachment 1984161
Screenshot_20211023-131311.jpg
 
Aisee huu uwazi asikwamhie mtu mtamu sana...nina kazi yangu moja hiyo anao..basi naenjoy sana...yan akisimama tu naona nyuma kule..[emoji1][emoji1] alaf kuhusu shimo labda kwa wenye uwazi mkubwa..huyu wangu shimo kawaida tu... sema stake zake sasa [emoji119][emoji119] hadi namwita butcher bebe [emoji1]
 
Back
Top Bottom