THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Uwazi mwingine Ni mkubwa mno,
Mpaka mapaja hayakutani kabisa akisimama wima[emoji116]View attachment 1984186
Kuna thigh gap, halafu kuna matege! Hayo uliyopost hapo ni matege. Thigh gap ni nafasi ndogo sana wenyewe wanaita "bullet hole" na hii inatakiwa ionekane wakati mapaja yamegusana.

Screenshot_20211023-150753_Instagram.jpg
 
Wengine tunapenda paja kama paja, liwe paja la uhakika, paja lililojaa kwelikweli, paja lililoambatana na mzigo wa hakika...halafu kifua kiwe kifua haswa...yaani kifua kwelikweli...

Hivi viuwazi vya nini hasa!!
 
Wanazingua sana mkuu, wanaume wote inatakiwa tuwe na msimamo mmoja tu chura kwanza.
Sasa hawa wengine wanakuja na Thigh Gap mara dimpos juu ya tako mara sijui ujinga gani mwisho wa siku dada zetu wanaenda mrama.
 
Back
Top Bottom