THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Dah! Kumbe[emoji848]
 
We gepu lile kweli vyuma ndani vimeachana kabisa nje je!? Labda kuvimbe . mm siwez oa kitu ka hii ase
 
Eeh bhana nakumbuka nilikuwa na demu wangu wa chuo ana huo uwazi juu ya mapaja aisee acha kabisa yule manzi anajua aiseee. Mungu ambariki uko alipo.

Hachoki hata kidogo afu mwepesi mno,akivaa suruali sasa sichoki kumtazama.

Mm ni muumini wa Thigh Gap, huwa nawakubali sana wadada wa hivyo wana sifa nyingi nzuri aisee.

Mosi wengi wao ni wasafi, wanajipenda sana.
Wepesi kitandani,na hawachoki mapema.
Wana uelewa mkubwa wa mambo.

Lakini kuna wale wengine ukikutana nao huwa balaa,wanakuwaga vicheche sana yaani chakaramu kinoma.
 
Mi nadhani usafi Ni Jambo la mwanamke husika
 
Wapi picha?
 
Uwazi mwingine Ni mkubwa mno,
Mpaka mapaja hayakutani kabisa akisimama wima[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…