THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Wengine tunapenda paja kama paja, liwe paja la uhakika, paja lililojaa kwelikweli, paja lililoambatana na mzigo wa hakika...halafu kifua kiwe kifua haswa...yaani kifua kwelikweli...

Hivi viuwazi vya nini hasa!!
 
Wanazingua sana mkuu, wanaume wote inatakiwa tuwe na msimamo mmoja tu chura kwanza.
Sasa hawa wengine wanakuja na Thigh Gap mara dimpos juu ya tako mara sijui ujinga gani mwisho wa siku dada zetu wanaenda mrama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…