THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

THIGH GAP: Uwazi katikati ya mapaja ya wanawake

Hata sijui utofauti wa uwazi na palipofungamana maana wote wanawajibika kwa staili uipendayo
 
Ulaya hiyo kitu ni deal sana

Africa ndo mnapemda manyamanyama
Wenzetu wanataka mwanamke simple tu sio matako makubwa,tumbo kubwa shavu kubwa na kibri kama chote.Ukimuulzia kulikoni?anakwambia eti mi mZuri,seriously?????????
 
Wee unahusudu tandam za kiafrica?
 
Nyie wanaume mtakuja tuue sasa,mara mnataka chura tukitafta chura hiyo thigh gap haiwezi kuwepo,sasa mnataka thigh gap kupata hiyo mpaka ukubali kupoteza chura na kuwa kimbaumbau,mtatuua jamani
 
Back
Top Bottom