Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Yaani wewe na akili zako nzuri hivyo unataka kulinganisha Pori la Dar es Salaam na Jiji la Nairobi. Aaaah acha matani basi
Ndio nawewe ushangae,dar ikiwa pori nairobi itakuwa Nini???
 
Ndio shida ya kutawaliwa na wazungu sasa. Kila kitu unaamini mzungu empty set kabisa
Nyinyi hamna akili ndio maana mnachukukua mkopo mkubwa kujenga sgr ambayo haina faida huku bandari yenu ya mombasa inachukuliwa na mchina.
 
Yaani wewe na akili zako nzuri hivyo unataka kulinganisha Pori la Dar es Salaam na Jiji la Nairobi. Aaaah acha matani basi

Ni kweli kabisa dar kuna pori wala hujakosea,ila wakenya wao wamepata kulijua pori hilo 2017->
 
You cant compare apples with mangoes, compare apple to apple, je ume-compare na terrain hizo mbili? distance alone does not tell it all.

 
Corrupt kenya again. It means kenyans built theirs for $9m per km while ours will be $3.2 per km and Tanzanian road will be much better ie flyivovers will be included

You are quite right and this is what used to happen during the 3rd and 4th governments in Tanzania!however the President Dr Magufuli ananyooooosha mambo(he is curbing the theft through dubious and inflated contracts by unscrupulous government officials who only valued their stomachs) those are the instigators and orators of “hali ngumu”! No more illegal deals!
 
Giza, Why don't we talk about the $45 million barely 500 metres 6 lane Tazara flyover vs the $88 million 13 km 8 lane elevated highway...who's playing who?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15]

mkuu unaishi tanzania au unaishi ulaya?.........


hio miradi ya magufuli zaidi ya sgr ambayo ndio inajengwa, mradi gani mwingine umeshaanza!!!!?????............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…