Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Huyo ni mbongo anayeishi Kenya na kazi yake ni kuiponda Kenya na kuisifu Tanzania. Ni mchumi bandia.Anajua msamiati wa economics pekee.[emoji15] [emoji15] [emoji15]
mkuu unaishi tanzania au unaishi ulaya?.........
hio miradi ya magufuli zaidi ya sgr ambayo ndio inajengwa, mradi gani mwingine umeshaanza!!!!?????............
mimi ni mtanzania, najua nini kinafanyika na nini hakijaanza kuwa implimented........Huyo ni mbongo anayeishi Kenya na kazi yake ni kuiponda Kenya na kuisifu Tanzania. Ni mchumi bandia.Anajua msamiati wa economics pekee.
BTW, what do you mean when you say no project has been started apart from sgr? Brt,stiglers gorge,kimara superhighway, ubongo interchange, dar port expansion, Bwagamoyo port etc and GoT is financing all these proje
Kwahiyo huoni aircraft zinavyoingia? Je Stiegler's Gorge? Je New Selander Bridge? Je Kibaha Highway? Je Dar port expansion?[emoji15] [emoji15] [emoji15]
mkuu unaishi tanzania au unaishi ulaya?.........
hio miradi ya magufuli zaidi ya sgr ambayo ndio inajengwa, mradi gani mwingine umeshaanza!!!!?????............
rudia tena kusoma nilichomjibu Rose.........Kwahiyo huoni aircraft zinavyoingia? Je Stiegler's Gorge? Je New Selander Bridge? Je Kibaha Highway? Je Dar port expansion?
Wacha ujinga mradi huanza contractor anapopewa site! Stiegler's Gorge Arab contractor na El Sewedy Electric wapo on the ground doing mobilization.mimi ni mtanzania, najua nini kinafanyika na nini hakijaanza kuwa implimented........
sgr ndio tayar inajengwa, ubungo interchange inajengwa, hilo bwawa la umeme (stiers g mikataba wamesaini juzi tu), bagamoyo hata haieleweki, salender bridge wamesaini juzi mkataba.........
so, what i'm saying is, project pekee ambayo contractors wanaendelea na kazi ni hio sgr na ubungo interchange, the rest zipo kwenye mikataba tu..........
kama mtanzania nazijua tabia za viongozi wetu kuahidi vitu na kusaini mikataba, ila utekelezaji ndio mtihani......
kuhusu fedha, most of those ni mikopo, serikali inajisifu kwamba ni fedha za ndani lakn sio kweli, miradi yote % kubwa ni ufadhili na mikopo...............
tanzania haina mapato ya ku-run projects zote hizo kwa pamoja, HATUNA UWEZO HUO! thats why naamini hii miradi gharama zinazorajwa ni pungufu ya gharama halisi (tunamjua magufuli anapenda kusifiwa, aliwahi taja gharama kidogo ujenzi wa hostel kumbe ni mara 5 zaidi)........
hapa JF watasema ni hela ya serikali, lakn waulize wakwambie hio hela inatoka wapi? kama hela haijawekwa wazi kwenye bajeti wao wanapata wapi? hawatakwambia zaid ya kuzunguka as wanajua wazi ni mikopo hio
Wamepewa site pia meaning bank account imefunguliwa pia!rudia tena kusoma nilichomjibu Rose.........
ni mikataba tu imesainiwa kama ambavyo jk alisaini bagamoyo port............
hizo project zimeanza???? au unataka tuongelee mambo ya "tuta"???.............
wacha ujinga kwani bwagamoyo mchina hakupewa site?.........Wacha ujinga mradi huanza contractor anapopewa site! Stiegler's Gorge Arab contractor na El Sewedy Electric wapo on the ground doing mobilization.
ooohhh may be unaongelea ku-survey eneo.............Wamepewa site pia meaning bank account imefunguliwa pia!
Sipendi kuzozana na Wapumbavu wa Wikipedia!sipendi kuppingana na wajinga
View attachment 973875
Wacha ufala get to know what it takes for such a massive project to kickoff! Mobilization alone takes 6 months!ooohhh may be unaongelea ku-survey eneo.............
subiri, ndani ya miezi miwili mbivu na mbichi zitakua peupe......... tuendelee kuongea na hizi ID zetu fake..............
hahahaaaaaa matusi tena?......... hio ligi ya matusi siiwezi!Wacha ufala get to know what it takes for such a massive project to kickoff! Mobilization alone takes 6 months!
Wacha ujinga mradi huanza contractor anapopewa site! Stiegler's Gorge Arab contractor na El Sewedy Electric wapo on the ground doing mobilization.
wazee wa kupinga kila kitu mna kazi kubwa sana awamu hii. poleni.mimi ni mtanzania, najua nini kinafanyika na nini hakijaanza kuwa implimented........
sgr ndio tayar inajengwa, ubungo interchange inajengwa, hilo bwawa la umeme (stiers g mikataba wamesaini juzi tu), bagamoyo hata haieleweki, salender bridge wamesaini juzi mkataba.........
so, what i'm saying is, project pekee ambayo contractors wanaendelea na kazi ni hio sgr na ubungo interchange, the rest zipo kwenye mikataba tu..........
kama mtanzania nazijua tabia za viongozi wetu kuahidi vitu na kusaini mikataba, ila utekelezaji ndio mtihani......
kuhusu fedha, most of those ni mikopo, serikali inajisifu kwamba ni fedha za ndani lakn sio kweli, miradi yote % kubwa ni ufadhili na mikopo...............
tanzania haina mapato ya ku-run projects zote hizo kwa pamoja, HATUNA UWEZO HUO! thats why naamini hii miradi gharama zinazorajwa ni pungufu ya gharama halisi (tunamjua magufuli anapenda kusifiwa, aliwahi taja gharama kidogo ujenzi wa hostel kumbe ni mara 5 zaidi)........
hapa JF watasema ni hela ya serikali, lakn waulize wakwambie hio hela inatoka wapi? kama hela haijawekwa wazi kwenye bajeti wao wanapata wapi? hawatakwambia zaid ya kuzunguka as wanajua wazi ni mikopo hio
wazee wa kushangilia kila kitu lazima tuwapinge..........wazee wa kupinga kila kitu mna kazi kubwa sana awamu hii. poleni.
Kama hauishi Dar.. Usiseme mambo ambayo hujui... Dar port exapnsion ishaanzawazee wa kushangilia kila kitu lazima tuwapinge..........
acheni uongo!
Wewe ni ni muongo au huna taarifa. Daraja la Selander mkataba umesainiwa juzi? Juzi ndio mmeona kwenye TV Ila watu wako kule chini muda mrefu sana. 8-lane highway mkandarasi hayuko kazini? Yuko kazini muda mrefu sana.mimi ni mtanzania, najua nini kinafanyika na nini hakijaanza kuwa implimented........
sgr ndio tayar inajengwa, ubungo interchange inajengwa, hilo bwawa la umeme (stiers g mikataba wamesaini juzi tu), bagamoyo hata haieleweki, salender bridge wamesaini juzi mkataba.........
so, what i'm saying is, project pekee ambayo contractors wanaendelea na kazi ni hio sgr na ubungo interchange, the rest zipo kwenye mikataba tu..........
kama mtanzania nazijua tabia za viongozi wetu kuahidi vitu na kusaini mikataba, ila utekelezaji ndio mtihani......
kuhusu fedha, most of those ni mikopo, serikali inajisifu kwamba ni fedha za ndani lakn sio kweli, miradi yote % kubwa ni ufadhili na mikopo...............
tanzania haina mapato ya ku-run projects zote hizo kwa pamoja, HATUNA UWEZO HUO! thats why naamini hii miradi gharama zinazorajwa ni pungufu ya gharama halisi (tunamjua magufuli anapenda kusifiwa, aliwahi taja gharama kidogo ujenzi wa hostel kumbe ni mara 5 zaidi)........
hapa JF watasema ni hela ya serikali, lakn waulize wakwambie hio hela inatoka wapi? kama hela haijawekwa wazi kwenye bajeti wao wanapata wapi? hawatakwambia zaid ya kuzunguka as wanajua wazi ni mikopo hio
Huyu ndio wale pingapingaKama hauishi Dar.. Usiseme mambo ambayo hujui... Dar port exapnsion ishaanza
Highway ya kimara -kibaha ishaanza.. Au unabisha uletewe picha
Wacha ufala get to know what it takes for such a massive project to kickoff! Mobilization alone takes 6 months!
Geza, waste no energy on that pumpkin-head! most of them are schoolless grasshoppers.
wazee wa kupinga kila kitu mna kazi kubwa sana awamu hii. poleni.
Kama hauishi Dar.. Usiseme mambo ambayo hujui... Dar port exapnsion ishaanza
Highway ya kimara -kibaha ishaanza.. Au unabisha uletewe picha
Wewe ni ni muongo au huna taarifa. Daraja la Selander mkataba umesainiwa juzi? Juzi ndio mmeona kwenye TV Ila watu wako kule chini muda mrefu sana. 8-lane highway mkandarasi hayuko kazini? Yuko kazini muda mrefu sana.
Stigler's waarabu wapo kazini.
Port expansion hatua moja imekamiliks na inakuja meli kubwa ambayo awali isingeweza kuja. Tafuta taarifa.
Kama kawaida nyinyi ni Wabongo na mkikosolewa na wenzenu mnaanza matusi. Tumekuwa tukisema miradi yenu ni ya kwenye makaratasi tu ila mnapinga tena kwa mdomo tu. Hivi Bagamoyo Kazi imefika wapi tena kwa ushahidi wa Picha miaka kumi Baada ya geza kufungua Uzi hapa?Huyu ndio wale pingapinga
Ushauri wa bure.. tafuta maharifahahahaaaaaa matusi tena?......... hio ligi ya matusi siiwezi!
the thing is, hizo projects bado zana ku-kick off.......
endelea kuwadanganya wakenya humu..... i'm off!!!