Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Wivu itamaliza huyu mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya Geza Ulole. This haba na haba highway iko miaka kumi nyuma,ni ndogo na inaenda dead zones unlike Thika Road.
 
In the USA cargo is mainly transported using tracks not railways. Get your facts right.
 
Katika kitu ambacho tanroad wameniudhi ni mataa yanayo taka kuwekwa mbezi mwisho.. ni ujinga wa hali ya juu
Nmeshangaa pale kwann hawakifikiria kujenga overpass ,kutakua na usumbufu sana pale kwa wanaotoka njia ya Goba kuingia Morogoro road
 
Hujui maana ya highway.
 
Hiii kubaka highway looks too small kucompete na Thika super highway ata ile ya Nakuru nairobi highway imeitoa na mbali sana na ata section ya kangemi to town haijaanza. Itakua na double decker road nkiskia.
 
Yasemwe yote mema na mabaya. Mi ni mtanzania nayejivunia kuwa jirani na Kenya. Ndugu na majirani zangu hawa wamenifunza kuwa mpambanaji nisiyekatishwa tamaa. Wakenya ni kaka na dada zangu naowaheshimu sana....
 
Mradi unaenda kwa kasi nzuri...nmepita kutokea kibaha hadi kimara barabara sehemu kubwa wameshaanza kuweka lami,madaraja karibu yote yako katika hatua za mwisho...kipande cha kiluvya kuelekea kibaha ndio bado kidogo
 
Mradi unaenda kwa kasi nzuri...nmepita kutokea kibaha hadi kimara barabara sehemu kubwa wameshaanza kuweka lami,madaraja karibu yote yako katika hatua za mwisho...kipande cha kiluvya kuelekea kibaha ndio bado kidogo
inakuwa poa zaidi ila vip mapicha haujachukua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…