Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Wivu itamaliza huyu mwenyekiti wa kamati ya roho mbaya Geza Ulole. This haba na haba highway iko miaka kumi nyuma,ni ndogo na inaenda dead zones unlike Thika Road.
 
Boss, no country in this world would think of road cargo transport. Huge cargo haulage is always the reason for train transport. SGR is perfect! Note that in Kenya or TZ Cargo is not, not a reason for having Thika road or Kibaha project, respectively. Roads are for lightweight vehicles. Do you know Euro tunnel? Included are railway for cargo and passengers and road for light weight vehicles. if you do the opposite, call it a sort of useless glorification.
In the USA cargo is mainly transported using tracks not railways. Get your facts right.
 
IMG_9518.JPG


Mambo si mabaya

Dar to Kibaha
 
Katika kitu ambacho tanroad wameniudhi ni mataa yanayo taka kuwekwa mbezi mwisho.. ni ujinga wa hali ya juu
Nmeshangaa pale kwann hawakifikiria kujenga overpass ,kutakua na usumbufu sana pale kwa wanaotoka njia ya Goba kuingia Morogoro road
 
Hujui maana ya highway.
Highway Ni nyingi zinaanza kujengwa mwaka huu wa fedha kwa taarifa yako kutoka tegeta hadi bagamoyo 46 km tunaweka 4lanes ,morogoro road itaendelea hadi chalinze 100km iyo no awamu ya kwanza tu,
Tengeru USA river Arusha nayo itaongezwa 14km dual carriage way
 
Hiii kubaka highway looks too small kucompete na Thika super highway ata ile ya Nakuru nairobi highway imeitoa na mbali sana na ata section ya kangemi to town haijaanza. Itakua na double decker road nkiskia.
 
It's time again to look at the value for taxpayers' money in these two projects. Though three Chinese contractors i.e. Synohydro, Wu Yi n Shengli Engineering built Thika's 40 km Highway that claimed to be superhighway by Kenyans, Kibaha's 19 km Highway is to be built by native Tanzanians.
Yasemwe yote mema na mabaya. Mi ni mtanzania nayejivunia kuwa jirani na Kenya. Ndugu na majirani zangu hawa wamenifunza kuwa mpambanaji nisiyekatishwa tamaa. Wakenya ni kaka na dada zangu naowaheshimu sana....
 
Mradi unaenda kwa kasi nzuri...nmepita kutokea kibaha hadi kimara barabara sehemu kubwa wameshaanza kuweka lami,madaraja karibu yote yako katika hatua za mwisho...kipande cha kiluvya kuelekea kibaha ndio bado kidogo
 
Mradi unaenda kwa kasi nzuri...nmepita kutokea kibaha hadi kimara barabara sehemu kubwa wameshaanza kuweka lami,madaraja karibu yote yako katika hatua za mwisho...kipande cha kiluvya kuelekea kibaha ndio bado kidogo
inakuwa poa zaidi ila vip mapicha haujachukua?
 
Back
Top Bottom