Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Mmeona mkataba wa ujenzi wa hiyo road!! Mnabebwa ufala na Uhuruto nyie mnakenua tu. Uthamaki unawamaliza
Wewe mwenyewe umeliona ama ni kukenua meno tu? PPP na tena ya 30 years. Hapo hakuna eti ushuru wetu utatumika. Mwekezaji anatumia hela zake kisha baada ya miaka 30 akishazipata hela alizowekeza, expressway inakabidhiwa na kuwa under ownership of the government.
 
Mmeona mkataba wa ujenzi wa hiyo road!! Mnabebwa ufala na Uhuruto nyie mnakenua tu. Uthamaki unawamaliza
We nawewe, sasa ufala aje na hakuna pesa ya umma inatumika? Ni ivestor mchina ameamua kuwekeza.
 
We nawewe, sasa ufala aje na hakuna pesa ya umma inatumika? Ni ivestor mchina ameamua kuwekeza.
Mchina anawachezea kama atakavyo... miaka 30!! Hapo guarantor ni GoK, yani mchina anafanya risk free business.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…