Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kuargue na watu wenye wameweka akili kwa mat*ko ni shida sana. Nani amewaambia eti Thika rd na Kibaha ziko ligi moja? Hizo barabara mbili hazifanani kwa vipimo kwa hivyo haviwezi linganishwa. Don't compare oranges with apples. Kabla uongee kuhusu cost per kilometre kama brainless mmoja anaitwa French, jiulize kama kibaha ina lanes sawa na Thika rd? Jibu ni no. Thika rd ina lanes nyingi zaidi ya Kibaha


