Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Kumbe kelele Hii yote na hata haifiki nusu ya Thika Road.
Hata ivyo iyo barabara unatoka CBD hadi kimara ikiwa na 6 lanes plus serviceroad lanes (8lanes) .kutoka Posta hadi kimara ni km 16 sasa ukiadd 19km Za highway zinakua ngap??
 
Kuna na hii expressway ya Dar to Chalinze...Magufuli anataka iyanze...Itaanzia Kigamboni...Dar Port....Itakuwa na 6 interchange....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji116][emoji116][emoji116]Mtasubili sana...View attachment 973100
Hii ikijengwa itakuwa super sana. Finance model yake ni PPP, mwakani mother of all dry ports in E.A inafunguliwa Kwala ina ukubwa wa hectares 500 baada ya hapo lazima investor atapatikana maana hii expressway inaenda kudondoka hapo.
 
Nyie ni wengi inafaa mujenge superhighway ya kilomita zaidi ya mia., kama Nairobi-Mombasa express way., sio vitu vya 19km na kujisifu, Dar kweli ni Slum.,
Hiyo ni phase 1, bado kuna phases nyingine. Kumbuka inajengwa kwa pesa za ndani.
 
19.2km
Swali;hv hua unasoma mada kabla hujacomment?mwasit ndio maana una maswali ya kikenge kenge
Katika watu wa hovyo humu huyo jamaa ni kinara, anaweza akakuletea vitu ambavyo havipo ukabaki unashangaa tu.
 
[emoji23] [emoji23]
Kama anafanya makusudi basi jamaa ni mwehu sana! Ila kama ndivyo alivyo basi ni hasara. Kuna mtu alipost picha yake, jinsi alivyo na upupu wake anaoandika ata haviendani. Inaeza ikawa bangi ime mspoil [emoji1]
 
Hata ivyo iyo barabara unatoka CBD hadi kimara ikiwa na 6 lanes plus serviceroad lanes (8lanes) .kutoka Posta hadi kimara ni km 16 sasa ukiadd 19km Za highway zinakua ngap??
Ikifika 20km una uhuru wa kupiha kelele lakini kwa sasa mdomo pigia kina Burundi juu hata Uganda sio ligi yenu alafu kwanza mkamilishe tuikague.
 
If i do u, u do me [emoji41]
. BTW,mmeshindwa na Rwanda. Mnapata highway yenu ya kwanza sasa ,flyover mlizindua juzi na bado mnalijinganisha na Kenya? Geza Ulole huwa hapati usingizi akiwaza Kenya. Anafungua nyuzi saa saba za usiku.Nahurumia mke wake na watoto
 
Hii ikijengwa itakuwa super sana. Finance model yake ni PPP, mwakani mother of all dry ports in E.A inafunguliwa Kwala ina ukubwa wa hectares 500 baada ya hapo lazima investor atapatikana maana hii expressway inaenda kudondoka hapo.
Magufuli swala la PPP kwenye miradi ya serikali hataki...Hii itajengwa na serikali hatakama nikwa mkopo...
 
Ikifika 20km una uhuru wa kupiha kelele lakini kwa sasa mdomo pigia kina Burundi juu hata Uganda sio ligi yenu alafu kwanza mkamilishe tuikague.
Naona imekugusa pabaya🀣🀣🀣Pata na hii ya leoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
K
. BTW,mmeshindwa na Rwanda. Mnapata highway yenu ya kwanza sasa ,flyover mlizindua juzi na bado mnalijinganisha na Kenya? Geza Ulole huwa hapati usingizi akiwaza Kenya. Anafungua nyuzi saa saba za usiku.Nahurumia mke wake na watoto
Kwani nyinyi Rwanda hawazidi...??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hivi mombasa port ishanyakuliwa tatari? Aisee east africa wachina wanainyemelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…