tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Hata ivyo iyo barabara unatoka CBD hadi kimara ikiwa na 6 lanes plus serviceroad lanes (8lanes) .kutoka Posta hadi kimara ni km 16 sasa ukiadd 19km Za highway zinakua ngap??Kumbe kelele Hii yote na hata haifiki nusu ya Thika Road.