let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Jaribuni,tuwaoneshe kwamba tupo
Mimi nimeona tu chawa wanaanza kumpigia kampeni January, mpaka nikashangaa.Kuna umbea... nasisitiza... umbea.... unazunguka mitaani kuwa mama haelewani na mzee wa Msoga kabisa, na kuwa mzee wa Msoga na kundi lake wamepania kumwondoa uchaguzi ujao. Umeshausikia? What do you make of it?
Huyu VP ni kama boya fulani hivi. Nadhani aliteuliwa kimkakati. Siyo mwanasiasa na ni mtu wa ndiyo ndiyo tu. Kuna kile kipindi mama Samia alikuwa amesafiri kwenda nje na aliporudi VP akasema ni bora umerudi. Akawa kama anaji-under estimate hivi kuwa hana uwezo wa kukaimu kwenye hicho kitu. BTW si ni huyu Magufuli alimburuza wakati yuko taabani anaumwa korona, akajitokeza kufanya press huku anakohoa sana kuwa hajafa....Naomba kuuliza kwanini hadi leo sijaona au kusikia msimamo au maoni ya VP.
Unafikiri ni bahati mbaya au kuna mikakati,mipango,mbinu,maono ya kuhakikisha katika hili la Bandari hachafuki,hausiki !.
Islamophobia!!...pole,mi sijawahi vaa Wala miliki kanzuWewe ni li-zeefulan, li-dereva boda boda, kanzu chafu leo unajifanya kuwa mtu wa system.
You are so dead accurate in your satires😁😁
Na huyu ndiye nasikia kina mzee wa Msoga ndiyo wanataka aingie.Mimi nimeona tu chawa wanaanza kumpigia kampeni January, mpaka nikashangaa.
Fall apart uwa inaanza kwanza, Centre inajaribu kuzuia hili mambo yasiende mlama, lakini wapi.So things falls apart whenever the centre cant hold🤗
Nice observation sir
Pande zote mbili zinahusika kumbe basiFall apart uwa inaanza kwanza, Centre inajaribu kuzuia hili mambo yasiende mlama, lakini wapi.
Atimae utabaki umesimama kwa mshangao kama yule Dingi(Captain) kwenye Meli ya Titanic alivyokuwa ameshikwa na mshangao kuona chombo inazama kama utani vile.
Tutishe kuwa hautatubeba tena kwenye Boda Boda yako sio ku-act mtu wa system.Islamophobia!!...pole,mi sijawahi vaa Wala miliki kanzu
Hahahaha,kwa hiyo kwenye system wanaingiaga uzeeni!?..halafu kwa nini umeelewa kuwa Mimi ni mtu wa system,mbona sikuandika hivyo!?Tutishe kuwa hautatubeba tena kwenye Boda Boda yako sio ku-act mtu wa system.
Siku ukiingia kwenye system tutajua tu, na nyumba unayo ishi utaifanyia ukarabati wa kuondoa ile Brown Roof.
Mimi sijasema wewe ni mtu wa system, mimi nimesema una-act kuwa mtu(wakati si) wa system na kuanza kutisha watu kuwa utashughulika nao.Hahahaha,kwa hiyo kwenye system wanaingiaga uzeeni!?..halafu kwa nini umeelewa kuwa Mimi ni mtu wa system,mbona sikuandika hivyo!?
Mbona unajishtua na povu jingi,unaogopa tukiingia barabarani!?..unaujua mziki wetu siyo!?Mimi sijasema wewe ni mtu wa system, mimi nimesema una-act kuwa mtu(wakati si) wa system na kuanza kutisha watu kuwa utashughulika nao.
Hopefully, Mangungo akipigwa chini asikanyage Jumba jeupe mtangia barabarani kama enzi zile za yule dogo wa Msahafu.
Sasa rais mzima umepewa manyota yote na taasisi zote unagunduaje umeingizwa chaka baada ya kuingizwa chaka, na kwa nini usigundue unapelekwa kuingizwa chaka na kukataa kabla hujaingizwa?What if “Mama” mwenyewe ndo aliyevujisha mkataba baada ya kugundua kaingizwa chaka. Just thinking out LOUD.
Aiseh huyo KABISA!!?Dah,
Kuna mkakati kabisa?
Mimi nilifikiri ni chawa mmoja tu kajichokea.
Nami nafikiria hivyoNaomba kuuliza kwanini hadi leo sijaona au kusikia msimamo au maoni ya VP.
Unafikiri ni bahati mbaya au kuna mikakati,mipango,mbinu,maono ya kuhakikisha katika hili la Bandari hachafuki,hausiki !.
Ule Uzi wa Jamaa aliyetabili kifo Cha Jiwe aliandika katika huo uzi" Mama atashikiria kijiti kwa muda mfupi, yupo ajae".. Soon huo uzi utafufuliwa.Aiseh huyo KABISA!!?
Came on deep state!came on!!!
Hawezi kuwa huyo coz lazima atoke kanda ya ziwa tena KULE ndio huamua hatma ya urais wetu!!
Yupo top ten ya nec pale!!
Ndio Tumia akili alikuja na Desert mission JUZI tu moderators walifuta!!Ule Uzi wa Jamaa aliyetabili kifo Cha Jiwe aliandika katika huo uzi" Mama atashikiria kijiti kwa muda mfupi, yupo ajae".. Soon huo uzi utafufuliwa.
Evidentlly the core cannot hold the forthcoming eruption.The Second Coming
Turning and turning in the widening gyre
The falcon cannot hear the falconer;
Things fall apart; the centre cannot hold;
Mere anarchy is loosed upon the world,
The blood-dimmed tide is loosed, and everywhere
The ceremony of innocence is drowned;
The best lack all conviction, while the worst
Are full of passionate intensity.
Surely some revelation is at hand;
Surely the Second Coming is at hand.
The Second Coming! Hardly are those words out
When a vast image out of Spiritus Mundi
Troubles my sight: somewhere in sands of the desert
A shape with lion body and the head of a man,
A gaze blank and pitiless as the sun,
Is moving its slow thighs, while all about it
Reel shadows of the indignant desert birds.
The darkness drops again; but now I know
That twenty centuries of stony sleep
Were vexed to nightmare by a rocking cradle,
And what rough beast, its hour come round at last,
Slouches towards Bethlehem to be born?