Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
- Thread starter
- #41
Mkuu,Huyu VP ni kama boya fulani hivi. Nadhani aliteuliwa kimkakati. Siyo mwanasiasa na ni mtu wa ndiyo ndiyo tu. Kuna kile kipindi mama Samia alikuwa amesafiri kwenda nje na aliporudi VP akasema ni bora umerudi. Akawa kama anaji-under estimate hivi kuwa hana uwezo wa kukaimu kwenye hicho kitu. BTW si ni huyu Magufuli alimburuza wakati yuko taabani anaumwa korona, akajitokeza kufanya press huku anakohoa sana kuwa hajafa....
VP ni technocrat, si politician, hilo nakubali.
Lakini pia, siasa za Bongo tata sana, unaweza kumuona mtu mjingamjinga anajifanya kukubali kufanya press conference huku anakohoa, anajifanya kusema "ni bora umerudi", kumbe anajijengea mazingira ya kuonekana mnyenyekevu, akifika juu kwenye utawala wake unamshangaa kabisa, hivi huyu ndiye yuleyule au mwingine huyu?