Things fall apart, the centre cannot hold (The 2nd Coming)

Things fall apart, the centre cannot hold (The 2nd Coming)

Huyu VP ni kama boya fulani hivi. Nadhani aliteuliwa kimkakati. Siyo mwanasiasa na ni mtu wa ndiyo ndiyo tu. Kuna kile kipindi mama Samia alikuwa amesafiri kwenda nje na aliporudi VP akasema ni bora umerudi. Akawa kama anaji-under estimate hivi kuwa hana uwezo wa kukaimu kwenye hicho kitu. BTW si ni huyu Magufuli alimburuza wakati yuko taabani anaumwa korona, akajitokeza kufanya press huku anakohoa sana kuwa hajafa....
Mkuu,

VP ni technocrat, si politician, hilo nakubali.

Lakini pia, siasa za Bongo tata sana, unaweza kumuona mtu mjingamjinga anajifanya kukubali kufanya press conference huku anakohoa, anajifanya kusema "ni bora umerudi", kumbe anajijengea mazingira ya kuonekana mnyenyekevu, akifika juu kwenye utawala wake unamshangaa kabisa, hivi huyu ndiye yuleyule au mwingine huyu?
 
Dah,

Kuna mkakati kabisa?

Mimi nilifikiri ni chawa mmoja tu kajichokea.
Katika watu wanaotaka urais kwa udi na uvumba ni huyu jamaa. Yaani anaona hata 2030 ni mbali mno, na pengine kunaweza kutokea mabadiliko makubwa kwenye mfumo hivyo asipate chance. Unaweza kumfananisha na Lowassa alivyokuwa desperate. Well, wale watu waliokuwa na sauti ya turufu kwenye vikao vya CCM kama kina Mkapa hawapo. Kikwete anaweza kusuka? Mama atakubali awe rais wa kipindi kimoja?
 
Ya kweli haya? Si kwamba mnamuwekea maneno tu mtoto wa watu?

Kuna siku nilikuwa naongea naye mambo ya barabara za mikoa, mtu mmoja akauliza kuhusu daraja la Tanzanite.

Akaeleza jinsi Magufuli alivyo wa bully kulijenga.

Jamaa mwingine akamuuliza vipi, utagombea urais?

Aliruka vibaya sana akisema yeye kazi yake ya sasa ya uwaziri inamtosha sana, na tusimletee matatizo kwa kuongelea habari za urais.

Alijionesha kuwa mtu humble ambaye hana matamanio ya urais kwa sasa.

Huoni kwamba kumsema mtu wa hivyo kwamba ana njama za urais ni kumzushia tu?
 
🤣 Tusubiri, muda utaamua.
 
The second coming ni shairi amabalo linatabiri ujio wa yesu kwa mara ya pili.W Yeast aliona machafuko yamezidi mno ktk ulimwengu na akaona yesu Yu karibu kuja baadhi ya mambo aliyoyaona ni ;the falcon cannot hear the falconer yaani binanadamu hamsikii muumbaji,things fall apart,mambo yamevurugika,the centre cannot hold yaani mhimili umishidwa kuhimili.mshairi aliona ujio wa pili wa yesu kutokana na machafuko aliyoyaona kwakipindi hicho.Wakati Niko chuo nilipenda mashairi ya Sana ikiwemo shairi hili ambalo CHINUA alichukua msitari kutoka ktk shairi hili Asante kwa kutukumbusha mleta Uzi!
 
Back
Top Bottom