Things Fall Apart

Things Fall Apart

Nahisi watu wengine wakisoma baadhi ya posts humu wanajiuliza maswali mengi. Tunakuwa na hoja nzuri lakini tunashindwa kuziwasilisha vizuri kwa lugha yoyote, hata ile ya wazazi wetu. Hapa ndipo elimu ya nchi hii ilipofika.....on its knees! Tunatakiwa kuanza upya, lakini tunaweza?

Hapana, hili haliusiani na mfumo wa elimu yetu.

Lugha ya kiingereza Tanzania ni kwa watu walio elimika na kiswahili ni cha wote. Sasa hapa JF ni kama fungulia mbwa - mbwa wakali na mbwa koko wote wamo humu.

Wajinga ni wengi mno JF.
 
Back
Top Bottom