Nahisi watu wengine wakisoma baadhi ya posts humu wanajiuliza maswali mengi. Tunakuwa na hoja nzuri lakini tunashindwa kuziwasilisha vizuri kwa lugha yoyote, hata ile ya wazazi wetu. Hapa ndipo elimu ya nchi hii ilipofika.....on its knees! Tunatakiwa kuanza upya, lakini tunaweza?