Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Kaze ni Lampard wa Burundi, na Yanga wakiendelea kuwa naye, watakuwa wanashindana kubakia top 4 ila siyo ubingwa.Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga.Akatoa sababu adhaa ikiwepo ya kukosa uzoefu wa kutofundisha timu kubwa na zenye presha.
Leo nimeamini hiyo kauli,na nakili kusema "Things have fallen apart for Kaze"
Na hii ni sera yao mkuu, kocha akipata mafanikio anaambiwa alete Wana mfano etieneKaze aliwaweza sana Watopolo, akaona isiwe tabu ngoja niwape Ulaji Wastaafu wa Kirundi akina Ntibazokiza na Fiston. Ni aibu sana kwa Watani zetu timu ya Wananchi.
Ndayiragije alileta Warundi zaidi ya 10 Kwenye VPL, Hii tabia TFF wasipooangalia itawanyima fursa vijana wa Kitanzania na kuijenga Burundi Kisoka na Kiuchumi. Hawa jamaa ni Wana Ukabila sana na ndicho wanafanya kwenye timu wanazopata nafasi ya kufundishaNa hii n sera yao mkuu kocha akipata mafanikio anaambiwa alete Wana mfano etiene
Kocha wa Barcelona ya watoto wanamfukuzaje tena jamani?
🤣🤣🤣
Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga. Akatoa sababu kadhaa ikiwepo ya kukosa uzoefu wa kutofundisha timu kubwa na zenye presha.
Leo nimeamini hiyo kauli na nakiri kusema "Things have fallen apart for Kaze"
Muda gani?? Kesha timuliwaApewe muda
Hiyo inaitwa panic...Utopo wana panic attack disorderWalimfukuza yule Pierre wa watu. Masikini yule kocha alikuwa hana shida yoyote.
Kwa sasa hakuna kocha Mtanzania anayeziweza hizi timu za Simba na Yanga.Naona kwa mbali Mecky Maxime ananyemelea nafasi ya mtu hapo kwa wananchi