Things has fallen apart for Kaze

Things has fallen apart for Kaze

Abby Newton

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
1,252
Reaction score
2,253
Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga. Akatoa sababu kadhaa ikiwepo ya kukosa uzoefu wa kutofundisha timu kubwa na zenye presha.

Leo nimeamini hiyo kauli na nakiri kusema "Things have fallen apart for Kaze"
 
Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga.Akatoa sababu adhaa ikiwepo ya kukosa uzoefu wa kutofundisha timu kubwa na zenye presha.

Leo nimeamini hiyo kauli,na nakili kusema "Things have fallen apart for Kaze"
Kaze ni Lampard wa Burundi, na Yanga wakiendelea kuwa naye, watakuwa wanashindana kubakia top 4 ila siyo ubingwa.
 
Kaze aliwaweza sana Watopolo, akaona isiwe tabu ngoja niwape Ulaji Wastaafu wa Kirundi akina Ntibazokiza na Fiston. Ni aibu sana kwa Watani zetu timu ya Wananchi.
Na hii ni sera yao mkuu, kocha akipata mafanikio anaambiwa alete Wana mfano etiene
 
Na hii n sera yao mkuu kocha akipata mafanikio anaambiwa alete Wana mfano etiene
Ndayiragije alileta Warundi zaidi ya 10 Kwenye VPL, Hii tabia TFF wasipooangalia itawanyima fursa vijana wa Kitanzania na kuijenga Burundi Kisoka na Kiuchumi. Hawa jamaa ni Wana Ukabila sana na ndicho wanafanya kwenye timu wanazopata nafasi ya kufundisha
NDIKUMANA wa KMC
MANU
BUYOYA
KITENGE
NAHIMANA
NDIKUMANA wa Azam
.NK......
 
Haya haya
IMG-20210307-WA0034.jpg
 
Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga. Akatoa sababu kadhaa ikiwepo ya kukosa uzoefu wa kutofundisha timu kubwa na zenye presha.

Leo nimeamini hiyo kauli na nakiri kusema "Things have fallen apart for Kaze"

Yes namkumbuka pia huyo mwandishi kwenye Efm kipindi cha sports
 
Naona kwa mbali Mecky Maxime ananyemelea nafasi ya mtu hapo kwa wananchi
 
Naona kwa mbali Mecky Maxime ananyemelea nafasi ya mtu hapo kwa wananchi
Kwa sasa hakuna kocha Mtanzania anayeziweza hizi timu za Simba na Yanga.

Huyu Mecky labda tu wa kumwlizia msimu lakn sio wa kuleta ushindani.
 
Back
Top Bottom