Mwanzi1
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 6,000
- 4,589
Bado hujanishawishi kwamba serikali ya majimbo ndio jawabu la kiutawala kwa Tanzania. Kwanza kwanini tujiingize kwenye mfumo ambao hauta leta maendeleo tofauti na yalio sasa? Kwani hatuna serikali za mitaa ambazo zinatatua matatizo ya wananchi moja kwa moja? Why we need to add more bureaucratic layers by electing another provincial legislators who will do the same with what councils are doing today. Na hii Mbeya Arusha example I gave you before, it will be reality once you see people of one side losses their jobs and they try to go to find jobs in another province. Kwani devaluation itaketa maajabu gani Zanzibar, kwani Zanzibar haiko kwenye devaluation tayari? Hawana rais wao, hawana serikali yao, hawana bunge lao, hawana serikali zao za mitaa? Hii imekuwa issue ya Chadema for years, lakini imekuwa fimbo ambayo CCM inawachapia Chadema kila wakati hili swala likiibuka. Mifano ni mingi sana kwa nchi zilizo ingia kwenye utawala wa majimbo na jumuia kuvunjika. Sisi tunaona Marekani kama ni nchi moja kubwa na wanashirikiana katika kila jambo. Lakini ukienda kule hasa hasa kwenye ngazi ya majimbo na mikoa ya majimbo (county), utaona jinsi wanavyo tofautiana na kupingana kisiasa na kuuchumi California v Taxes v NY. Uingereza England v Scotland, Ujerumani Bayern v Berlin, South African wao ndio kabisa West Cape v Gauteng v KwaZulu Natal. Wengi hao walikuwa hawana ujanja lakini kujiingiza kwenye mfumo wa majimbo kutokana na hisia baina ya jamii. Lakini kwa Tanzania tunahisia gani, tuna shida gani ya kisiasa mpaka tuamuwe kumega nchi kwa vipande vya majimbo? Maana ndio huko tuendako Kilimanjaro watakuwa juu sana kulinganishwa na Rufuji. Until you come up with stronger case of devaluation, hii issue itakiwa ngumu kushawishi Watanzania.Devolution does not work like that. Eti mtu wa Mbeya hatamjua wa Arusha.
Nchi itabaki moja na mamlaka yatabaki kwenye serikali kuu Dodoma. Haitaruhusiwa serikali ya jimbo lolote kuunda sheria itakayozuia uhuru wa raia, bidhaa, fedha na huduma kuhama kutoka sehemu moja ya jamhuri kwenda katika sehemu nyingine.
Besides, devolution can help Tanzania cope with its Zanzibar problem. Think about it.