Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Siyo kosa la Geza Ulole kushindwa kuelewa kwako kiingereza. jilaumu wewe mwenyewe ambaye hukumsikiliza mwalimu wako wakati anakufundisha.
Huyu jamaa ni mpumbavu, kulikuwa na errors ambazo nimesahihisha! Sasa namuomba more corrections anaendelea kuhara!
 
Siyo kosa la Geza Ulole kushindwa kuelewa kwako kiingereza. jilaumu wewe mwenyewe ambaye hukumsikiliza mwalimu wako wakati anakufundisha.
Sasa eti na wewe eliakeem pia una ubavu wa kuambia mtu yeyote yule kwamba hajui kiingereza? [emoji1]
What is this kwenye point yake ya kwanza? ...."Allowing tour vans from Kenya accessing our national parks that have clear management plans unlike Kenya's, Kenya tourism stakeholders have always a chance to partner with tourism stakeholders in Tanzania and create more jobs and that arrangement should remain untouched;"... It should be, *to access our national parks, *have always had a chance...etc ..etc.
Alafu hiyo ni kwenye intro tu, bora angetumia kiswahili tu kama wewe.
 
Huyu jamaa ni mpumbavu, kulikuwa na errors ambazo nimesahihisha! Sasa namuomba more corrections anaendelea kuhara!
"*Bowing to any trade agreements outside existing East Africa common markets framework that protectionist Kenya deliberately subotaged;" Umesahihisha wapi? Hujui kuandika jina SABOTAGE?
 
umejitutumua lakini... wacha tuendelee kumkaribisha Mama kwanza
 
have always have a chance even now!
 
Have always had a chance.
that's a minor error now Masai mara has no EMP here is a proof! A reason it is a Game Reserve and not a National Park!

"*Bowing to any trade agreements outside existing East Africa common markets framework that protectionist Kenya deliberately subotaged;" Umesahihisha wapi? Hujui kuandika jina SABOTAGE?
Hahaha. Leo naona umemkamata kweli.
 
Exposure ndogo ndiyo chanzo cha yote hayo, ungetembea vya kutosha, hilo lisingekuwa issue. We, people of different exposure, are always stick on context, rather than such nonsense.
 
Exposure ndogo ndiyo chanzo cha yote hayo, ungetembea vya kutosha, hilo lisingekuwa issue. We, people of different exposure, are always stick on context, rather than such nonsense.
Unanijua au umeiona pasipoti yangu ndio useme sijatembea? [emoji1] Eti we, are always stick on context, utumbo mtupu. Acha kuwazingua watu mzee, hujatia mguu wako hata siku moja nje ya Tandale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…