Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Unanijua au umeiona pasipoti yangu ndio useme sijatembea? [emoji1] Eti we, are always stick on context, utumbo mtupu. Acha kuwazingua watu mzee, hujatia mguu wako hata siku moja nje ya Tandale.

Unatuletea mambo ya Kajiado hapa. Hamna mtu aliyekuuliza passport hapa. Akili na maneno yako yanaonesha ukitembea sana umeenda juba, sirari au namanga.
Kwa taarifa yako, usirudie kuhoji kiingereza cha mtu awaye yote, tunachongalia ni ujumbe kama umefika. tunaotembea huwa hatuoni ni issue hiyo.
 
Hata hamuoni aibu kuwa rais wenu anakaribishwa na waziri wa michezo?πŸ˜‚πŸ˜‚
Aibu ya nini sasa?!!?..kwanza mi hapa nina m-mind kichizi yan simuelewi harakati zake yan anakuja anatoka bado hajaniingia akilini mwangu
 
Reactions: nao
Mnaotembea hadi wapi, Morogoro? [emoji1] Mtu awaye yote ndio nini sasa, hata kiswahili pia kinakukanganya? Tumia kisukuma basi. Watu ambao tumetembea kweli huwa hatusemi kila siku na kwenye kila sentensi kwamba tumetembea.
 
Huyu jamaa ni mpumbavu, kulikuwa na errors ambazo nimesahihisha! Sasa namuomba more corrections anaendelea kuhara!
Anakuondoa kwenye reli mzee, ajibu hoja tu, viingereza ni vya Waingereza, hatushindanii Kiingereza hapa.

Vv
 
Uzuri ni kwamba,raisi wa Tanzania ni raisi wa Kenya pia..kwa hiyo ni kheri akilegeza
subiri sasa uone jinsi tutakavyo ingia kwa kishindo.... tutahakikisha tumetikisa wavu kila kona
 
Oya oya wadau, tusibishane mitandaoni hebu tutazame channel ya citizen.

 
Keshawasili ikulu. Anapewa heshima zake na jeshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…