Things Samia Suluhu should avoid to do in Kenya

Mi hujiuliza Watz wote wanakuanga mafala Kama wwe Bongolala 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Akili imekurudia mnaalika watu , halafu mnasema Samia kaenda mwenyewe ahahahaha narudia Amina Mohammed kaja Bongo kupiga magoti ili mama aende Kenya (mualiko )
Kama kaalikwa kwanini hangekataa kuja,eeh Ni Kama mtoto anavyoitwa na Baba🤣🤣🤣🤣🇰🇪🔥🔥
 
Magu alijaribu, lakini alikuwa kishipa na ilimshinda hivi sasa hali imekua ngumu kitaa. Mama amekuja kulegeza
Mama kaalikwa na Kenyatta kupitia Dr Amina Mohammed, hivyo mama kaitikia wito tuuu wa jirani


Kubali wito kataa maneno
 
Magu alijaribu, lakini alikuwa kishipa na ilimshinda hivi sasa hali imekua ngumu kitaa. Mama amekuja kulegeza
Duh...wishful thinking...huijui Tanzania wewe...No Tanzanian leader has ever bowed to Kenyans...Never...that will never happen....what TZ wants ni 50-50 win situation...mkileta za kuleta tutakuwa back to square one...tuone Nani will blink first...This time you have blinked first after the death of JPM...But during JPM's administration you blinked first several times...
 
Huyo alikuwa Kikwete 2013, Magufuli ni 2015 Wakenya walisoma namba ndio maana alipokufa wakaleta mualiko haraka
Kwani Suluhu Ni Mtoto si angekataa kualikwa,Najua munajua Baba wenu Nani🇰🇪🔥🔥🔥
 
Kama kaalikwa kwanini hangekataa kuja,eeh Ni Kama mtoto anavyoitwa na Baba🤣🤣🤣🤣🇰🇪🔥🔥
Yaani umemtuma Dr Amina halafu unataka akatae? ahaahahahaa huku Tanzania tunakataa maneno sio wito

Mama amefika kusikiliza kilio chenu watoto
 
Wewe shinda hapo na wivu zako while some Tz businessmen i know of wako kwa hio entourage na wewe uko hapo vijiweni with your wishful thinkings
 
Why has Suluhu bowed,Munataka kumaanisha ameitwa na Baba yenu,ambaye Ni Kenyatta na akaitika???🇰🇪🔥🔥🔥
 
I refer you to magufulis speech when he visited kenya to open southern bypass, he said and i quote "wamaasai should be allowed to cross borders walishe mifugo" that was very hypocritical
 
Dr Amina kaja kwa Magoti unakataaje?ahahahhaha Magufuli alileta adabu sanaaaa
Na si mlikuwa mmenunia Baba yenu(Kenya) si mgekataa kuja,Unanikumbusha Mtoto flani alikuwa akithrow Tuntrums Nikampa Switi😛Akaanza kujifanya hataki,Nikampa Maid ampe hio Switi Kumbe alikuwa anaitaka🤣🤣🤣🤣🤣
 
at least u r not bigot! mwenzio anang'ang'ania incoherentness of my arguments of which i have agreed as i have no time to revise! i asked him to do correction but unfortunately he is still beating the bush!

CEO geza ulole there same word missing in your brief such as' win-win situation '
What happened? You forgot to drink your daily cup of supu.
 
I refer you to magufulis speech when he visited kenya to open southern bypass, he said and i quote "wamaasai should be allowed to cross borders walishe mifugo" that was very hypocritical
Nyie ni mafalamanga wa kutupwa yaani waje walishe kwa ardhi yetu na si ya Uhuru family? Upumbavu mlio nao hamta kaa mpate maarifa!
 
The last time a Tz president used that airport alikua anaenda Nairobi hospital, atleast huyu leo anaenda state house
Who was that? Wakenya mna tatizo la kisaikolojia ...you will get nothing from TZ.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…