Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisahau pia Dom city kuna hospital kubwa ya magojwa ya moyo kuliko nchi zote za East AfricaUmesahau pia Dodoma ipo mbioni kujenga railway ya tram kama commuter yake mjini
Sijaongelea electric SGR ambayo itakuwa na biggest terminal kusini mwa jangwa la Sahara
Sasa kwa miundo mbinu ya barabara na njia za trainDSM baba lao jiji kubwa lenye beaches za hatari na sasa kuwa na train la umeme, tunahanza kubattle na joz, lagos na cairo mzee, Nairobi level yake kampala na kigali
Nairobi ile iliyojaa slum na fly toilets??!! ..nairobi hujaenda peke yako jombaa..Ndo hapo kuna umuhimu wa mtu kutembea miji/ Nchi za wengine ili kujionea vitu tofauti venye kwenu hakuna
Siku unakuja Unaenda Mombasa ama Nairobi nenda kabisa na Photos zako mkononi za Dar Es salaam na Dodoma
Ili uweze kulinganisha vizuri [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
HaahaaNairobi ile iliyojaa slum na fly toilets??!! ..nairobi hujaenda peke yako jombaa..
Una kichaa wewe. Dar es Salaam na Nairobi zinatoshana na mambo mengi tu.Dodoma ndio mji mkuu wenye chuo kikubwa kuliko vyuo vyote vilivyopo kusini mwa jangwa la sahara, UDOM au ukipenda kiite Chuo Kikuu cha Dodoma.
Dodoma ndio mji mkuu wenye bunge nzuri na kubwa kuliko mabunge yote ya nchi za East Africa.
Dodoma ndio mji mkuu wenye ikulu yenye eneo kubwa, na inavyoonekana ndio itakua ikulu nzuri kuliko zote katika nchi za East Africa
Dodoma ndio mji mkuu wenye stand nzuri ya mabasi zaidi ya mji mkuu wa Kenya Nairobi.
Dodoma ndio mji mkuu unatazamiwa kujengwa uwanja mkubwa wa mpira unaotarajiwa kuwa uwanja mkubwa zaidi kwa nchi zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambapo uwanja huo ukikamilika utakua na uwezo wa kubeba watazamaji laki moja.
Dodoma ndio mji mkuu upo mbioni kujenga kiwanja kikubwa cha ndege, kiwanja hicho cha kisasa inasemekana kikikamilika ndio kitakuwa kiwanja cha kisasa zaidi kuliko kiwanja cha ndege cha Nairobi, Kenya, Jomo Kenyatta International Airport
Hapo bado sijakupa facts za ujenzi na projects za ujenzi wa mji wa kisasa wa Msalato ndani ya Dodoma ambapo kuna miradi wa ujenzi wa hotel zenye hazi ya nyota tano, maeneo ya shopping centre maarufu kama malls na vitu kibao ambavyo vitajengwa Dodoma.
Kwa ninavyoona, Dodoma anakuja kumpumzisha kaka yake DSM kwenye battle na Nairobi, kwani DSM inabidi kuanza kubato na majiji makubwa kama joz, Lagos na Cairo ukizingatia DSM ina population kubwa zaidi ya Nairobi na kuipambanisha na Nairobi huwa ni kutoitendea haki kwani population ya Nairobi ni ku-battle na majiji kama Kampla na Kigali, na kama unavyojua sifa ya majiji makubwa mengi hua na population kubwa.
Point yangu hapa Dar i-battle na majiji yenye population kubwa, majiji yenye bahari na majiji yaliunganishwa kwa train za umeme.
😂😂 naona soon tunaaza battle ya Nairobi vs Dodoma
Hatuwezi kuchangia hoja za kitoto kama hizi. Nenda ukunye halafu ulale.Mbona mnabisha bila kuja na hoja za kupinga kilichoandikwa hapo juu, kwani kuna uongo hapo zote ni facts mzee
Kushinda Terminus ya Nairobi? Mbona mnaongea matope?Umesahau pia Dodoma ipo mbioni kujenga railway ya tram kama commuter yake mjini
Sijaongelea electric SGR ambayo itakuwa na biggest terminal kusini mwa jangwa la Sahara
yes ya Dodoma will be bigger than Dar's if Dar's is 13,000 sq m and Nairobi's Terminus is 15,000 sq m then i see Dodoma eclipsing Nairobis's Terminus!Kushinda Terminus ya Nairobi? Mbona mnaongea matope?
Hujasema ya Dodoma itakuwa na sqm ngapi.yes ya Dodoma will be bigger than Dar's if Dar's is 13,000 sq m and Nairobi's Terminus is 15,000 sq m then i see Dodoma eclipsing Nairobis's Terminus!
The SGR Nairobi Terminal is a 15 000 sqm train terminal/station that forms one of two key stations (out of a total of eight) that make up the recently completed Mombasa-Nairobi Standard Gauge Railway Line.
Inside Kenya's Railway Stations: The SGR Nairobi Terminal
Nairobi kuna nn zaidi?Tofauti yake ni kubwa kuanzia hali ya hewa, mazingira,miundo mbinu, n.k n.k Dodoma bado sana kuja kuifikia Nairobi huo ni mtazamo wangu.
Hiyo ni assignment nimekupa.Nairobi kuna nn zaidi?
Nilisahau pia Dom city kuna hospital kubwa ya magojwa ya moyo kuliko nchi zote za East Africa
unaijua hospitali ya Benjamin mkapa au ataujawai kuisikia? Halafu mji unajengwa, ukizingatia mji wa Dodoma kimpango mji hupo vizuri sana kuliko miji mikubwa mingine ya Tz, hivyo nategeme bahada ya miaka kadhaa Dodoma will be the best city in Tz and east Africa in generalYaani unamaanisha magonjwa ya akili (mirembe) au Moyo? Ddma bado sana hata Kwa Arusha na Mwanza kuko juu zaidi ya Dodoma? Dodoma ni vumbi kila mahali the place simply is not beautiful!
Nairobi bado iko juu sana!