Things you don't know about Dodoma, the capital city of Tanzania

Umesahau pia Dodoma ipo mbioni kujenga railway ya tram kama commuter yake mjini

Sijaongelea electric SGR ambayo itakuwa na biggest terminal kusini mwa jangwa la Sahara
Nilisahau pia Dom city kuna hospital kubwa ya magojwa ya moyo kuliko nchi zote za East Africa
 
DSM baba lao jiji kubwa lenye beaches za hatari na sasa kuwa na train la umeme, tunahanza kubattle na joz, lagos na cairo mzee, Nairobi level yake kampala na kigali
Sasa kwa miundo mbinu ya barabara na njia za train

Dar Es salaam haijafikia hata hiyo Mombasa basi! Malizaneni kwanza na Mombasa kisha ndo muingie Nai
 
Ndo hapo kuna umuhimu wa mtu kutembea miji/ Nchi za wengine ili kujionea vitu tofauti venye kwenu hakuna

Siku unakuja Unaenda Mombasa ama Nairobi nenda kabisa na Photos zako mkononi za Dar Es salaam na Dodoma

Ili uweze kulinganisha vizuri [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nairobi ile iliyojaa slum na fly toilets??!! ..nairobi hujaenda peke yako jombaa..
 
Una kichaa wewe. Dar es Salaam na Nairobi zinatoshana na mambo mengi tu.
 
Umesahau pia Dodoma ipo mbioni kujenga railway ya tram kama commuter yake mjini

Sijaongelea electric SGR ambayo itakuwa na biggest terminal kusini mwa jangwa la Sahara
Kushinda Terminus ya Nairobi? Mbona mnaongea matope?
 
Kushinda Terminus ya Nairobi? Mbona mnaongea matope?
yes ya Dodoma will be bigger than Dar's if Dar's is 13,000 sq m and Nairobi's Terminus is 15,000 sq m then i see Dodoma eclipsing Nairobis's Terminus!

The SGR Nairobi Terminal is a 15 000 sqm train terminal/station that forms one of two key stations (out of a total of eight) that make up the recently completed Mombasa-Nairobi Standard Gauge Railway Line.

Inside Kenya's Railway Stations: The SGR Nairobi Terminal
 
Hatuwezi kuchangia hoja za kitoto kama hizi. Nenda ukunye halafu ulale.
πŸ˜‚πŸ˜‚ Dom city inawashika pabaya ndio mahana mnaweweseka, na bado hiyo ni intro tu movie linakuja tukishamaliza uchaguzi
 
Yaani unamaanisha magonjwa ya akili (mirembe) au Moyo? Ddma bado sana hata Kwa Arusha na Mwanza kuko juu zaidi ya Dodoma? Dodoma ni vumbi kila mahali the place simply is not beautiful!

Nairobi bado iko juu sana!

Nilisahau pia Dom city kuna hospital kubwa ya magojwa ya moyo kuliko nchi zote za East Africa
 
Yaani unamaanisha magonjwa ya akili (mirembe) au Moyo? Ddma bado sana hata Kwa Arusha na Mwanza kuko juu zaidi ya Dodoma? Dodoma ni vumbi kila mahali the place simply is not beautiful!

Nairobi bado iko juu sana!
unaijua hospitali ya Benjamin mkapa au ataujawai kuisikia? Halafu mji unajengwa, ukizingatia mji wa Dodoma kimpango mji hupo vizuri sana kuliko miji mikubwa mingine ya Tz, hivyo nategeme bahada ya miaka kadhaa Dodoma will be the best city in Tz and east Africa in general
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…