Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
Naombeni kujua kama aina hii ya watu ndiyo tunao wategemea kama taifa kufikiri kuhusiana na kesho yetu. Mtu ambaye ameshindwa kutatua changamoto ndogo ndogo za wananchi katika jimbo lake anawezaje kuwa na solution sahihi kwa taifa?
Mtu mwenye viashiria vya unafiki uliotukuka anawezaje kuaminika? January Makamba ni bora mara 100 ya Nape japo nayeye anatumia uwezo wake wa kufikiri kutuibia na kutudanganya + kufanya maamuzi ya hovyo na matukio ya kijinga ila akiamua kubadilika yeye ana akili nyingi.
Sasa endapo mataifa ya wenzetu yanapiga hatua kwa kuwa na watu smart, sisi tutapigaje hatua kwa kuongozwa na watu kama nape wasioweza kufikiri hata solutions ndogo ndogo zinazoweza kusaidia wananchi wao?
Tunawezaje kupiga hatua ikiwa watu wenye akili wanatumia akili zao kulamba asali na baba zao?