Gratius d4m9
Member
- Mar 16, 2013
- 62
- 24
Duh sinimeweka link just check and prove it for yourself then ndo uje kucoment.kweli au unazingua
dahh! ni kwel bhana jamaa yangu kafungua profle lake kaambiwa haja qualify hvyo afanye tena third round
Mm natumia cm but nimeyadownload ila nikitaka kuyapaste hapa yanaingia shaghala baghala..may be unipe surname gan nikuangaliziewadau wenye uwezo wa kudownlowd hayo majina na kutuwekea humu nawaomba mfanye hivyo ndugu maana simu yangu haina uwezo wa kufungua hiyo web lakini JF napata kama kawa. msaada please andugu.