Third Round of application TCU

Third Round of application TCU

tcu nao wanatuyeyusha..wangetoa watu tukajijua then hao wengine ndio wakalishwe bench..hao wa 3rd round ni uzembe sasa
 
Wamekataliwa na vyuo husika, kutoka na viwango vyao vya ufahuru kutoenda na mahitaji ya chuo husika.
 
1922 hawajapata vyuo 2013/14 kupitia tcu,hivyo wametoa nafasi nyingine third round kwa muda wa cku 10 hadi 30/8/2013,tembelea web yao ambapo waombaji wapya wanakaribishwa.
 
Hawa tcu vp badala ya kutoa selection za wenye vigezo vya kwenda versity wanalazimisha hata wasio na vigezo waapply, whatz their intention?
 
dahh! ni kwel bhana jamaa yangu kafungua profle lake kaambiwa haja qualify hvyo afanye tena third round
 
wadau wenye uwezo wa kudownlowd hayo majina na kutuwekea humu nawaomba mfanye hivyo ndugu maana simu yangu haina uwezo wa kufungua hiyo web lakini JF napata kama kawa. msaada please andugu.
 
wadau wenye uwezo wa kudownlowd hayo majina na kutuwekea humu nawaomba mfanye hivyo ndugu maana simu yangu haina uwezo wa kufungua hiyo web lakini JF napata kama kawa. msaada please andugu.
Mm natumia cm but nimeyadownload ila nikitaka kuyapaste hapa yanaingia shaghala baghala..may be unipe surname gan nikuangalizie
 
Back
Top Bottom