Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupi? wazungu ni wengi..Vp khs Muzungu? Mbona yeye hamumuonyi khs kuingilia Uchaguzi wa Kenya?
hehe...tumemkanya pia...si mara ya kwanza kumkanya mzunguMmiliki wa Kenya, English man!
hehe...tumemkanya pia...si mara ya kwanza kumkanya mzungu
we can decide our political future on our own..ila thank you big brothersIt is just playing our part as a big brother in E.A. Leaving you alone to decide your political future can be troublesome.
And by the way Magu is not good in diplomacy as Kikwete so you should be careful by those Mungikis stuffs and tribal conflicts you used to start after elections.
Hawa jamaa bana! Acha kabisa, they are such noisy neighbours if not from hell mpaka kichwa kinauma kabisa...Weka ushahidi hapa, isitoshe Muzungu anamuingiza King wa Wajaluo Raila Odinga madarakani kwa nguvu, subiri uone!
Sijui kama atakuelewa vizuri ungetafsiri kwenda kiswahili
Wewe nawe unakuwa na huu upuuzi kama wakenya?Sijui kama atakuelewa vizuri ungetafsiri kwenda kiswahili
Mpuuzi mwenyewe koma kunizoeaWewe nawe unakuwa na huu upuuzi kama wakenya?
Ha ha ha, kazi unayo.Mpuuzi mwenyewe koma kunizoea