Thirdway’s Aukot warns Magufuli to keep off Kenya’s elections

Wakati mwingine ni vizuri ku-paste habari na kuweka link maana tunapata usumbufu usio wa lazima kufungua thread halafu kufungua link.
 
Kuna sababu M7 wa UG. hakuweza kuwa na ushwishi wa maana uchaguzi wa 013' huku Kenya.Magufuli pia hataweza uchaguzi huu!Sababu ni moja tu,wakenya hawapendi kabisa madikteta!
 
Wanapenda wauaji kama Uhuru, kiongozi wa kundi la kigaidi la Mungiki.
 
Back
Top Bottom