who is he in kenya by the way?...I don't know him/her...it's my first time i hear about that name.
Kuna sababu M7 wa UG. hakuweza kuwa na ushwishi wa maana uchaguzi wa 013' huku Kenya.Magufuli pia hataweza uchaguzi huu!Sababu ni moja tu,wakenya hawapendi kabisa madikteta!
Una hasira na Uhuru?Dua la kuku hilo.Tunajua madikteta tulikuwa na Moi na alipata muda mgumu sana.Wanapenda wauaji kama Uhuru, kiongozi wa kundi la kigaidi la Mungiki.