Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Na mm ilinkataliaaa mkuuuMi natumia "Yowhatsapp". Mwanzoni mwa mwezi huu, nilifungiwa. Nikaandikiwa, kama alivyoandikiwa jamaa. Nami nikawajibu kuwa, sijafanya kosa lolote, kama lipo waniambie. Nikawaomba wanifungulie. Baada ya masaa kadhaa, wakanifungulia.
Kuna mtu kashauri, ufungue ac nyingine kwa namba nyigine, kisha uje ubadirishe namba kwa kuirudisha ya mwanzo. Mi nilijaribu, ile namba ilikataa.