Na mm ilinkataliaaa mkuuuMi natumia "Yowhatsapp". Mwanzoni mwa mwezi huu, nilifungiwa. Nikaandikiwa, kama alivyoandikiwa jamaa. Nami nikawajibu kuwa, sijafanya kosa lolote, kama lipo waniambie. Nikawaomba wanifungulie. Baada ya masaa kadhaa, wakanifungulia.
Kuna mtu kashauri, ufungue ac nyingine kwa namba nyigine, kisha uje ubadirishe namba kwa kuirudisha ya mwanzo. Mi nilijaribu, ile namba ilikataa.
Unatumia version ipiMnanitisha sana jamani, ngoja Nifikirie kuachana nayo
DuhWatakufikia tu 😂
Andika maelezo yako pale walipoandika submit afu watumie subiri masaa 24 afu danlod version 17.60
Mimi sijafungiwa mkuu.Andika maelezo yako pale walipoandika submit afu watumie subiri masaa 24 afu danlod version 17.60
Unakosa uhondo!Mimi sijafungiwa mkuu.
Ila nimekata shauri nimeona niache kuwa mbishi.. Leo rasmi nimeachana na GBwhatsapp sasa natumia official.
Hapana😅Unakosa uhondo!
Andika email kwenda support@whatsapp.com eleza kwamba ulikua hacked na hilo limesababisha wewe kushindwa access simu yako na account yako ya whatsappWakuu natokaje kwenye hili janga? Ni number ya ofisi muhimu sana. Bado sijapata msaaada.
Hawa jamaaa [emoji24][emoji24][emoji24] wataniua aseeAndika email kwenda support@whatsapp.com eleza kwamba ulikua hacked na hilo limesababisha wewe kushindwa access simu yako na account yako ya whatsapp
Pia nenda kwenye official website yao kuna sehemu ya kuomba msaada... andika tatizo lako na elezea sababu zilizosababisha kufungiwa.
Mimi lastweek nilipata ban kama yako niliandika email na kwenda kwenye website yao ndani ya maasaa matatu nilikua tayari nimeshafunguliwa
Sent from my 220733SFG using JamiiForums mobile app
Ni kitu gani hasa special mnachopata huko GbWhatsApp?Mnanitisha sana jamani, ngoja Nifikirie kuachana nayo
Hata official WhatsApp wameleta hiyo option ya ku-hide chat pia wameleta option ya kutumia account number 2 kwenye app mojaHapana😅
Nilikuwa napenda gb kwaajili ya kuhide chats. Nilikuwa nahide chat ya mchep wangu kipenzi, sasa amenidump sina tena haja ya kutumia GBwhatsapp. Nataka kuanza mwaka mpya nikiwa safi kabisa bila makandokando😜
bora kama umehama kabisa dear, lingekukuta la baba tikiti wangu,Hapana😅
Nilikuwa napenda gb kwaajili ya kuhide chats. Nilikuwa nahide chat ya mchep wangu kipenzi, sasa amenidump sina tena haja ya kutumia GBwhatsapp. Nataka kuanza mwaka mpya nikiwa safi kabisa bila makandokando😜
Kukiri kosa na kujirekebisha sio udhaifu ni dalili ya kukua na kujua wajibu wako.Hapana😅
Nilikuwa napenda gb kwaajili ya kuhide chats. Nilikuwa nahide chat ya mchep wangu kipenzi, sasa amenidump sina tena haja ya kutumia GBwhatsapp. Nataka kuanza mwaka mpya nikiwa safi kabisa bila makandokando😜
Kuumbe! Mshenzi wa tabia kabisa weweHapana😅
Nilikuwa napenda gb kwaajili ya kuhide chats. Nilikuwa nahide chat ya mchep wangu kipenzi, sasa amenidump sina tena haja ya kutumia GBwhatsapp. Nataka kuanza mwaka mpya nikiwa safi kabisa bila makandokando😜
Mkuu imeshakula kwako hiyo, usichokielewa hapo ni nini. Register kwa namba nyingine then utawa inform watu wako muhimu. That's the final solution as for now.Wakuu natokaje kwenye hili janga? Ni number ya ofisi muhimu sana. Bado sijapata msaaada.