This applies to Lissu and Samia , The sharpest threat to emotion is a logical mind

This applies to Lissu and Samia , The sharpest threat to emotion is a logical mind

labda kama ndio ilikua njia ya kummaliza kimya kimya?

Usione jambo likifanyika ukadhani ni bure.

Mistake hizo alizifanya sana Moragan Tsvangirai

Waliomshika Lissu sio kwamba hawana akili walitaka jambo fulan na nina hakika 80% wamefanikiwa .

Lissu amepata umaarufu ila amini utakua ni bure siku matokeo yakianza kuoenekana .... Sio mbali jipe muda.

Gudinight..
Mugabe alimfanyia hivyo Morgan Tsavingirai akaona amemaliza upinzani.
Masikini hakujua mpinzani wake hasa yupo ZANU PF humo humo ndugu Mnangangwa a.k.a Mamba. Mwisho wa Lissu ndio mwanzo wa mtu mwingine muhaini kweli atakayetoka miongoni mwa watesi wa Lissu.
 
nakupa hits tu dogo.

huo ujumbe nakupa muda utaukumbuka.

Ukiwa mjanja usikubali kitiwa nguvuni utajikuta huna nywele siku

Too late.

endeleeni kupiga firimbi amuijui hii Nchi vizuri.
Tunaijua nchi hii vizuri, hii ni nchi masikini, haina sifa nyingine zaidi ya hiyo. Usitake kujifanya ina la maana ila sisi ndio hatujui. Huo upuuzi wa kupeana vijisumu uchwara ni upuuzi kama upuuzi mwingine, ila ww unaona ni bonge la sifa, kumbe ni usen@ge mtupu.
 
Tunaijua nchi hii vizuri, hii ni nchi masikini, haina sifa nyingine zaidi ya hiyo. Usitake kujifanya ina la maana ila sisi ndio hatujui. Huo upuuzi wa kupeana vijisumu uchwara ni upuuzi kama upuuzi mwingine, ila ww unaona ni bonge la sifa, kumbe ni usen@ge mtupu

ila jua tu ujui lolote


huyu mtoto mtundu is too late.
 
Mugabe alimfanyia hivyo Morgan Tsavingirai akaona amemaliza upinzani.
Masikini hakujua mpinzani wake hasa yupo ZANU PFhum humo ndgu Mnangangwa a.k.a Mamba. Mwisho wa Lissu ndio mwanzo wa mtu mwingine muhaini kweli atakayetoka miongoni mwa watesi wa Lissu.
Tundu Tsavingirai.

Late Tun.
 
ila jua tu ujui lolote


huyu mtoto mtundu is too late.
Narudia tena, mngekuwa smart msingekuwa na kesi za kipuuzi hivyo, nyie ni wajinga mnaokaa madaraka kwa udhaifu wa mifumo ya nchi hii. Hakuna muda mtatoka na kibao kitageuka hamtaamini.
 
Back
Top Bottom