This applies to Lissu and Samia , The sharpest threat to emotion is a logical mind

Mugabe alimfanyia hivyo Morgan Tsavingirai akaona amemaliza upinzani.
Masikini hakujua mpinzani wake hasa yupo ZANU PF humo humo ndugu Mnangangwa a.k.a Mamba. Mwisho wa Lissu ndio mwanzo wa mtu mwingine muhaini kweli atakayetoka miongoni mwa watesi wa Lissu.
 
nakupa hits tu dogo.

huo ujumbe nakupa muda utaukumbuka.

Ukiwa mjanja usikubali kitiwa nguvuni utajikuta huna nywele siku

Too late.

endeleeni kupiga firimbi amuijui hii Nchi vizuri.
Tunaijua nchi hii vizuri, hii ni nchi masikini, haina sifa nyingine zaidi ya hiyo. Usitake kujifanya ina la maana ila sisi ndio hatujui. Huo upuuzi wa kupeana vijisumu uchwara ni upuuzi kama upuuzi mwingine, ila ww unaona ni bonge la sifa, kumbe ni usen@ge mtupu.
 

ila jua tu ujui lolote


huyu mtoto mtundu is too late.
 
Tundu Tsavingirai.

Late Tun.
 
ila jua tu ujui lolote


huyu mtoto mtundu is too late.
Narudia tena, mngekuwa smart msingekuwa na kesi za kipuuzi hivyo, nyie ni wajinga mnaokaa madaraka kwa udhaifu wa mifumo ya nchi hii. Hakuna muda mtatoka na kibao kitageuka hamtaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…