This Guy sings better bongo songs than Diamond,whole of wasafi ,Ali Kiba and all Tanzanians musicians

This Guy sings better bongo songs than Diamond,whole of wasafi ,Ali Kiba and all Tanzanians musicians

"Katafute kazi nyingine ya kufanya siyo muziki" - Salama Jabir!
 
duh we jamaa una utani!!!hakuna msanii hapo..huyo hata kwa aslay hafurukuti!!
aahh kweli wakenya mmehishiwa..
 
Diamond platnumz anauwezo as kuimba taarabu naukaipenda...akaimba zuku ukaipenda,r&b,aki rap bado unamwelewa Yule ndie msanii wa mziki mwenye uwezo mkubwa kwa sasa ukanda huu maana anauwezo wa kuimba na yoyote kwa style yoyote na bado ukamuelewa
 
Sijaangalia ilaa Kwa muonekanoo tu HAJUII KUIMBAAAA
 
duh we jamaa una utani!!!hakuna msanii hapo..huyo hata kwa aslay hafurukuti!!
aahh kweli wakenya mmehishiwa..

Wacha kumtaja Aslay navitu vyakipumbavu
muacheni mtoa Mada
Atengeneze Chang'aa na ainywe yeye na Ukoo wake
 
Back
Top Bottom