This has never been done before, but Samia Suluhu is doing it

Nonsense
Pesa ni kodi ya wananchi
Amefanya amefanya blah blah na kizungu chako cha nanilii bora ungeandika kwa lugha ya Taifa
Acheni kufanya watu wajinga
Kusifu na kuabudu

Maji maji safi ya kunywa yako wapi acha uongo
Utakunywa maji ya bomba acha kutufanya mazuzu
Hivi mkoje lakini?

Unataka ni uwaziri ubunge ukuu wa mkoa
 
Hii nyumbu mbona mnaendekeza sifa za kijinga wwtanzania walishaelimika saiv ndugu huwez watumia ivo kisa tamaa zako za udas cjui
 
Ila huko Arusha na singida mbona mnaharibika meno kwa maji tatizo NN kama machafu si mseme
 
Uneona yametekelezeka?
Hebu punguzeni mapamvio basi. Yaani hata contract zenyewe haxija sainiwa; watu mnasifia.

Alafu si nasikia ule mradi wa maji wa ziwa victoria umekufa? As u ndio huu umeunganisha hapa.
 
Yaani hivyo vijiji vinashida ya maji hatari; hadi kuna NGO Moja huko inapiga pesa kwa kutumia hiyo fursa; wamechimba visima kea ajili ya kuuza maji
 
Hii ndio shida tuliyonayo watanzania wengi tu. Sawa una haki ya kutoa maoni yako, lakini kwanini unashindwa kutumia lugha ya staha? Haiko hivyo, ni kweli Rais Samia Suluhu amefanya jambo ambalo kwa miaka 60 nyuma, hakuna Rais aliyewahi kufanya. Huwa napenda sana kuingia katika mijadala inayoheshimu zaidi haki na mipaka, napenda pia mtu aje na hoja na sio kubwata. Tafadhali, soma tena tuzungumze, sitaki mihemko.
 
Uneona yametekelezeka?
Hebu punguzeni mapamvio basi. Yaani hata contract zenyewe haxija sainiwa; watu mnasifia.

Alafu si nasikia ule mradi wa maji wa ziwa victoria umekufa? As u ndio huu umeunganisha hapa.
Fuatilia, acha kusikia sikia. Soma.
 
If we could have used an ounce of energy which is used is praising; maybe we would not need to praise cause the work would have been done for all to see....

Very sad to see my fellow countrymen been turned in praise teams when and if the emperor will be naked there wont be anyone to pass the information
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…