Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Hi..
Kwa wahenga natumai mmeitizama muvi hii. Sterling Donie Yen
Kuna dogo fulani yupo humu ni noma sana kwenye masho ratiii (In Dj Afro voice).
Hako kadogo jina lake halisi ni Angie Tseng, kwenye muvi kacheza uhusika wa kiume kama mtoto wa Donie ila kiuhalisia ni Wa kike huyu mtoto. Sasa hivi kaolewa na niafisa polisi huko Hong Kong. Kafuzu mapigano pendwa ya Jet Lee, WuShu
Je, ulijua lini kua si wakiume?